Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Jibu zuliStandard mliyoweka ni kuishia robo fainali ambapo yanga ana step moja tu kuivuka pale nyie mlipoishia. Na ana step mbili tu kupambania kombe.
AhahhahHatuna la kujifunza kwa waota moto na warudi kinyumenyume, ndio maana hata approach yetu na kwao tofauti.
Yanga kupata rekodi iliyo bora zaidi ya Simba itachukua zaidi ya mwaka mmoja unless mna jinsi ya kufika fainali, nusu fainali na robo fainali zaidi ya 4 mwaka huu huu mmoja jambo ambalo haliwezekani.Kufutwa haifutwi ila itakuwepo iliyo bora kuliko yako ,mfano nimekupa historia ya Arsenal na Chelsea London kabla ya Chelsea kufika Fainal ,Arsenal ilikuwa na historia nzuri kuliko Chelse,leo sasa ukipiga hesabu kwenye michuano mikubwa Arsenal na Chelsea yupi mwenye historia nzuri?
Wewe endelea kushiriki tu na kuendekeza kuota moto na kurudi kinyumenyume sisi ndio tunaenda kuandika historia yetu ambayo itakuwa bora kuliko yako kwa kutumia njia za kisayansi na si za kwenu mnazozitumia.
AhahaahaSisi hatuna mpango wa kujifunza kwa Kolo FC na ndio maana hata style yetu ya kupiga hatua tunaiendesha kisayansi zaidi wakati nyinyi style mpaka mbebe kuni mkaote moto uwanjani,mara mrudi kinyumenyume.
Halafu historia inaweza ikafutwa vilevile kwa London Arsenal ndio aliyekuwa na uhakika wa kuingia UEFA kila mwaka na akawa wa kwanza kufika fainali kwa timu za London,ila Chelsea ilikuwa haifanyi vizuri UEFA miaka ya nyuma ,ila kaingia mara tatu fainali na kachukua mara mbili.
Mnaweza mkawa mabingwa wa kushiriki sisi tutakabeba ndoo,endeleeni kushiriki. ILA MSIJIPE MOYO KWANI HATUNA LA KUJIFUNZA KWA WAOTA MOTO NA WARUDI KINYUMENYUME FC.
Na kama atakaidi atapigwa tu
Sasa nikichukua kombe huoni kama hiyo history yako itakuwa haina maana kuifananisha na Yanga?Yanga kupata rekodi iliyo bora zaidi ya Simba itachukua zaidi ya mwaka mmoja unless mna jinsi ya kufika fainali, nusu fainali na robo fainali zaidi ya 4 mwaka huu huu mmoja jambo ambalo haliwezekani.
Timu mbili zikitajwa, moja ikiwa imefika robo fainali mara moja, nyingine mara mbili, wanafanya hivyo ili kwa haraka haraka utambue iliyo na historia bora zaidi kwa kufika level hizo mara nyingi zaidi.
Elewa somo kijana usikaze fuvu hilo.
Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, (sasa limekuwa Kombe la Shirikisho) na kufungwa na Stella ya mjini Abidjan, Ivory Coast 2-0 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 mjini AbidjanStandard mliyoweka ni kuishia robo fainali ambapo yanga ana step moja tu kuivuka pale nyie mlipoishia. Na ana step mbili tu kupambania kombe.
Vunja rekodi hiyo kwanzaKikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, (sasa limekuwa Kombe la Shirikisho) na kufungwa na Stella ya mjini Abidjan, Ivory Coast 2-0 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 mjini Abidjan
View attachment 2578870
Caf confederation cup imeanza mwaka 2004. Hiyo ya mwaka 1993 sio Caf confederation cup bali ni CAF cup.Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, (sasa limekuwa Kombe la Shirikisho) na kufungwa na Stella ya mjini Abidjan, Ivory Coast 2-0 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 mjini Abidjan
View attachment 2578870
Matatizo ya akili haya sasa.Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, (sasa limekuwa Kombe la Shirikisho) na kufungwa na Stella ya mjini Abidjan, Ivory Coast 2-0 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 mjini Abidjan
View attachment 2578870
Uzumbukuku mtaacha lini?haya kipindi linafanyika kombe la washindi la Caf yanga haikuwepo?????ilifikia wapi?Matatizo ya akili haya sasa.
CAF WINNERS CUP ndio ilijulikana Kombe la washinde tangu miaka ya 70 na ndio shirikisho halisi. Hiyo michuano unayosema wewe ni bonanza zilizokuwa zinafanyika kila mwaka kuanzia mwaka 1992.
Mada hapa ni medani za kimataifa na hapo mwanzo hakukuwa na kombe linaloitwa shirikisho bali lilikuwepo kombe la CAF sasa hili kombe lilikuwa linashindaniwa KINESI au BARAFU¿??? na washiriki walikuwa ni sifa united,kauzu fc na kibada one? Au?Caf confederation cup imeanza mwaka 2004. Hiyo ya mwaka 1993 sio Caf confederation cup bali ni CAF cup. View attachment 2578913
Zamani kulikuwa na mashindano mawili makubwa ya CAF.Mada hapa ni medani za kimataifa na hapo mwanzo hakukuwa na kombe linaloitwa shirikisho bali lilikuwepo kombe la CAF sasa hili kombe lilikuwa linashindaniwa KINESI au BARAFU¿??? na washiriki walikuwa ni sifa united,kauzu fc na kibada one? Au?
Kama akili zako chache hutonielewa hapa.....