Sisi hatuna mpango wa kujifunza kwa Kolo FC na ndio maana hata style yetu ya kupiga hatua tunaiendesha kisayansi zaidi wakati nyinyi style mpaka mbebe kuni mkaote moto uwanjani,mara mrudi kinyumenyume.
Halafu historia inaweza ikafutwa vilevile kwa London Arsenal ndio aliyekuwa na uhakika wa kuingia UEFA kila mwaka na akawa wa kwanza kufika fainali kwa timu za London,ila Chelsea ilikuwa haifanyi vizuri UEFA miaka ya nyuma ,ila kaingia mara tatu fainali na kachukua mara mbili.
Mnaweza mkawa mabingwa wa kushiriki sisi tutakabeba ndoo,endeleeni kushiriki. ILA MSIJIPE MOYO KWANI HATUNA LA KUJIFUNZA KWA WAOTA MOTO NA WARUDI KINYUMENYUME FC.