Uncle tushangae wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa mikoani wanadanganywa sana kuhusu kariakoo.
Mtu mwenye pesa zake hawezi kwanza hata kufanya shopping huko kariakoo.
KisemvuleNaona mnatunyanyasa kisaikolojia sie wa vingunguti kwa mnyamani.
Kwa hiyo wewe mtoa mada kwenu wapi?
Na Masaki maana yake nini?Masaki na Mikocheni ni Majina ya Kizaramo na Kiswahili.
Masaki original ipo mkoa wa Pwani wilaya ya Kisarawe by the way.
Mikoche ni miti. Mikocheni ni sehemu yenye miti ya mikoche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu ni wapi?
Au labda anasemea K/koo ya mkoani kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Chang'ombe
Dah....masaki imetokana na neno massacre lilipatikana baada ya WWI sehemu ambayo wahindi wengi kutoka Burma waliuawa....Mikocheni Ni Michael Chang mchina...[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Baby hili ni tusi ujue
Loh!!
Changuruwe ndo tusi
Yaani kuniambia kwetu Chang'ombe ni tusi π
Nimeona jamaa amechelewa kujibu, nikamsaidia.
Asa mbona umetaja ambako sio
Kwanini uongope?Kwa nini nitaje kwenyewe?
Upanga siyo sehemu ya city center.