Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Uncle tushangae wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa mikoani wanadanganywa sana kuhusu kariakoo.
Mtu mwenye pesa zake hawezi kwanza hata kufanya shopping huko kariakoo.
Au labda anasemea K/koo ya mkoani kwao 😂😂😂