A
Anonymous
Guest
Fikeni Kituo cha Polisi, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, Mji Mdogo kumekuwa na hewa chafu itokanayo na moshi mchafu utokanao na kiwanda cha betri za magari kilichopo karibu na kituo hicho.
Moshi huo umekuwa ukiathiri Wananchi wanaofika kupata huduma pamoja na Askari/Watumishi wanaotoa huduma tunaomba sana sana NEMC mfike hapo.
Ujio wenu unaweza saidia kulinda afya za watu hali ni mbaya sana sana.