KERO Maeneo ya Kituo cha Polisi, Kibaha - Mji Mdogo tunateseka na hewa chafu ya moshi kutoka kiwandani

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Fikeni Kituo cha Polisi, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, Mji Mdogo kumekuwa na hewa chafu itokanayo na moshi mchafu utokanao na kiwanda cha betri za magari kilichopo karibu na kituo hicho.

Moshi huo umekuwa ukiathiri Wananchi wanaofika kupata huduma pamoja na Askari/Watumishi wanaotoa huduma tunaomba sana sana NEMC mfike hapo.

Ujio wenu unaweza saidia kulinda afya za watu hali ni mbaya sana sana.
 
Mji mdogo sio makazi ya kuishi viumbe hai
 
Police wa kutafuta buku
Hicho kiwanda kingekuwa nchi zingine wangepigwa faini na kufungiwa kiwanda kwa mda

Ila Africa mtaonewa sana
 
Hii kero imekaa kikerokero na yenyewe Yani kero juu ya kero imagine mwananchi anatoa kero ya Moshi unaofika Hadi kituo cha polisi na polisi ni watumishi wa serikali ambayo mnaiomba iwasaidie hiyo kero😀😀hii nchi Ina ujinga wa kero nyingi sana
 
Ingekuwa siyo wananchi ni hao mapolisi tu wasiojitambua ningesema mwekezaji afanye tu kazi yake wote wafe na ugonjwa wa mapafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…