Mr Gratitude
Member
- Aug 8, 2020
- 48
- 66
Wabongo tuache uchoyo wa taarifa ndio maana uki Google kitu kwa kiswahili hupati majibu mengiUkishazikamata pesa ndo uje kuuliza sehemu za kula maisha kwakua bado hujapata we endelea kutafuta pesa kwanza
Wabongo tuache uchoyo wa taarifa ndio maana uki Google kitu kwa kiswahili hupati majibu
Zote izo nimoTupe hobbies zako.
Una kunywa bia? Una penda pisi?