Maeneo ya kujiachia Dar es salaam

Maeneo ya kujiachia Dar es salaam

Mr Gratitude

Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
48
Reaction score
66
Habari zenu wana JamiiForums.

Mimi ni mzaliwa wa hapa dar es salaam lakini sio mtu wa kwenda mahali bila kua na misheni maalumu, napata tabu kwa kushindwa kujua maeneo gani tulivu ambayo siku nikizikamata hela au nikiwa na manzi mkali mwenye shepu matata naweza kwenda kuchill kwa mana ya kupata msosi mzuri, vinywaji ikiwezekana location ya kwenda kuchakata ile kitu yetu inayotufanya tuijaze dunia.

Naomba raman wadau
 
Habari zenu wana Jamii Forums, Mimi ni mzaliwa wa hapa Dar es salaam lakini sio mtu wa kwenda mahali bila kuwa na misheni maalumu, napata tabu kwa kushindwa kujua maeneo gani tulivu ambayo siku nikizikamata hela au nikiwa na manzi mkali mwenye shepu matata naweza kwenda kuchill kwa maana ya kupata msosi mzuri, vinywaji ikiwezekana location ya kwenda kuchakata ile kitu yetu inayotufanya tuijaze dunia.

Naomba ramani wadau
 
Tupe hobbies zako.

Una kunywa bia? Una penda pisi?
 
Back
Top Bottom