Maeneo ya kutembelea ukiwa Mbeya

Funa the Wild

Senior Member
Joined
Aug 1, 2022
Posts
167
Reaction score
282
1. Fukwe za Ziwa Nyasa


2. Ziwa Ngosi


3. Kawetere view point


4. Ziwa Kisiba


5. Maporomoko ya maji Kaporogwe


6. Mpanga Kipengere game reserve


7. Hifadhi ya taifa Ruaha


Unaweza kuongeza na mengineyo

Kwa huduma za safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Cheki nami +255622174613

Safari za kifamilia, kiofisi, chuo/shule, taasisi/kampuni, marafiki n.k

Nb: Gharama hutegemea na idadi ya watu mliopo na eneo mnalohitaji kutembelea.
 
Nautunza huu uzi Mwakani Mungu akijalia
 
Vipi Accomodation prices
 
Ajitahidi na kwenda mkoa wa Songwe ( sehemu ya mkoa wa Mbeya ya zamani) ukaangalie na kimondo😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…