Maeneo ya Lubumbashi nI SALAMA

Maeneo ya Lubumbashi nI SALAMA

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Nategemea kusafiri kwenda Lubumbashi, tarehe za mwisho wa mwezi January au mwanzoni wa feb. Je maeneo hayo kwa sasa ni salama kwa wageni, kama mimi kutoka bongo? Nilisikia kama tetesi za vita au ukosefu wa usalama maeneo hayo na ukizingatia DRC CONGO imekuwa uwanda wa mapambano kwa muda sasa

Nasafiri kwa safari ya kwenda kuwaona wadau , key mineral exporters wa maeneo hayo. Mimi siendi kununua madini, ila niko kwenye logistic/ shipping industry , hivyo nahitaji kwenda maeneo hayo kwa shughuli za kupanua masoko.

Naomba mchango wa mawazo wa usalama wa eneo lenyewe na hoteli za kufikia na kama kuna mtu ana uzoefu wowote katika maeneo ya huko.
 
Mkuu, naona hukupata response hapa kwa miaka yote hii! Sijui hakuna wadau wanaojua za huko au vipi! Ulifanikiwa kwenda? Na ulionaje huko?
Nategemea kusafiri kwenda Lubumbashi, tarehe za mwisho wa mwezi January au mwanzoni wa feb. Je maeneo hayo kwa sasa ni salama kwa wageni, kama mimi kutoka bongo? Nilisikia kama tetesi za vita au ukosefu wa usalama maeneo hayo na ukizingatia DRC CONGO imekuwa uwanda wa mapambano kwa muda sasa

Nasafiri kwa safari ya kwenda kuwaona wadau , key mineral exporters wa maeneo hayo. Mimi siendi kununua madini, ila niko kwenye logistic/ shipping industry , hivyo nahitaji kwenda maeneo hayo kwa shughuli za kupanua masoko.

Naomba mchango wa mawazo wa usalama wa eneo lenyewe na hoteli za kufikia na kama kuna mtu ana uzoefu wowote katika maeneo ya huko.
 
Ah sorry, niliangalia vibaya. Nilidhani umeipost siku nyingi. Ngoja tusubili wenye ufahamu watujulishe!
 
Back
Top Bottom