KERO Maeneo ya New Kiomboi central bussiness area na Old Kiomboi hakuna maji

KERO Maeneo ya New Kiomboi central bussiness area na Old Kiomboi hakuna maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kiteka

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
260
Reaction score
306
Maeneo ya New Kiomboi(central bussiness area na Old Kiomboi central bussiness area maji hayatoki imefikia hatua lita ishirini tunanunua kwa Tshs 800 why hii ni syndicate au?

Sababu sehemu kama Lulumba, Soweto, National housing wanapata maji why sisi? Au kwa sababu sisi tuna biashara?
 
Hivi kiomboi nako ni sehemu ya kuanzisha biashara Mayu? Kumekaa kushoto hivyo

Nakuja hapo next month hospital ya wilaya nina project nielekeze biashara ilipo nikaiungishe Mayu
 
Back
Top Bottom