Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa kwa takriban wiki ya 2 sasa. Si asubuhi, si mchana wala si usiku.
Leo tarehe 18 /10/2020 umekatika kuanzia saa 1.30 usiku mpaka mpaka saa hizi saa 7 kasorobo usiku kuamkia tarehe 19/10/2020 ni giza.
TANESCO tuelezeni kama ni mgawo, tatizo la mitambo au la kama sivyo ni hujuma?