Maeneo yafuatayo yanastahili Maboresho/Ujenzi wa stendi mpya za mabasai ya mikoani

Maeneo yafuatayo yanastahili Maboresho/Ujenzi wa stendi mpya za mabasai ya mikoani

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
1.ARUSHA
Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku.
arusha.jpg

2.KAHAMA
Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa nchini....lakini ni kitivo cha biashara za mazao kwenda mikoa ya magharibi na nje ya nchi
kahama-photo.jpg


3.MBEYA
Jiji kubwa katika ukanda wa nyanja za juu kusini,Jiji kubwa kwa biashara za mazao hapa nchini.
mbeya.JPG


4.TUNDUMA
Mji wenye mapato mengi kutokana na biashara za mpakani.Mpaka mkubwa kuliko yote Tanzania.
tunduma.jpeg





Wananchi na wazawa wa mikoa husika pazeni sauti....Haiwezekani yani mpitwe hadi na stendi ya daladala mwenge au simu 2000
 
Back
Top Bottom