Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam


Ngoja wakusikie!!
 
Magomeni napo mikumi pako poa sana
Pametuliaaa

Ova
Wakuja hawawezi kujua hio mitaa. Kuna upande wa pili wa barabara Baptist unakumbuka mitaa ile ilivyokuwa kama Obay?
 
Wakuja hawawezi kujua hio mitaa. Kuna upande wa pili wa barabara Baptist unakumbuka mitaa ile ilivyokuwa kama Obay?
Kuzuri sana pande hizo magomeni

Ova
 
Sasa mbona hamuishi kuwapinga vizinga ?
 
Kiluvya kwenyewe kna watu wanaishi vizuri

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…