akatanyukuile
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 314
- 310
Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha.
1. Sinza na Tandale
Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia.
2. Kawe na mikocheni
Kawe kuna uswazi ila jirani zao mikocheni kwa warioba wanakula upepo
3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.
4. Mtongani na bahari beach/ununio.
Watu wa mtongani wana maisha ya chini sana shughuli yao ni uvuvi, kokoto na bodaboda ila jirani zao bahari beach ni maghorofa na mitaa iliyopangika vizuri na watu maarufu wako huko.
Hayo ni maeneo ambayo wenye nacho na pangu pakavu wanaishi pamoja kwa ukaribu
Airport kwenyewe ni uswazi choka anapokaa bibi mwenda yule muigizajiMle airport kuna maisha ya watu binafsi, au unachekesha tu
Chadema njaa kali hadi makao makuu ya chama yapo uswahilini! 😃 😃 😃Bila kusahau CCM na CHADEMA ni vyote ni vyama vya siasa, CHADEMA kuna njaa ya kufa mtu wakati CCM ni shibe kwa kwenda mbelekvog'
wewe ndo ulikuja kuchukua kifusi nyumbani kwanguAu kwa yule rasta mnyakyusa
Ova
duuu!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Airport kwenyewe ni uswazi choka anapokaa bibi mwenda yule muigizaji
ipo sehemu gani macheniMacheni ilikuwa balaa nuksi tupu hapo
Malyaa wote unawakuta
Ova
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mimi kauzu sio mtu wa kujichanganyaWewe tajiri wa magomeni hata hujui kwa macheni? Au tajiri wa magomeni ya Unguja?!
Mikoani kuna maisha ya hadhi mara kumi ya darDsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.
Maandazi roadhyo mikochen pale nyuma ya shoppers plaza (nkaribu na regency) kuna mtaa huwa siuelewi elewi yaan umekaa kiswahili swahili sana
nahisi ndo huoMaandazi road
mkoa gan huo?Mikoani kuna maisha ya hadhi mara kumi ya dar
Mtaa upo ila katerero hakuna sasa hivi.Kweli pale Msasani katikati kabla ya kanisani kwenye lile bonde ni proper Slum, sijawahi ona sehemu yeyeto Dar iko hivi
Nilishapotea kwenye vichochoro nikajikuta nimeingia Chooni
na Maandazi road kule sio mchezo sijui bado upo huu mtaa, kwa wauza katerero, miaka ya 90s
Wengi wanategemea daladala za kawe na na kutembea kwa mguuyes napajua huko.
Halafu kukaa mikocheni ni pagumu sana kwa watu wa maisha ya chini ni bora hata kuishi tandale.
Ubaya wa mikocheni hakuna huduma muhimu zile za mitaani kama migahawa na magenge.
Na usafiri pia ni shida kwa sababu pamejitenga
Tatizo la Magomeni nasikia ni kama Tanga.. nyumba mganga..nyumba...$#@@
Hii nchi gani iko hivi?ipo ulaya,asia au africa?Huko mbeleni nako yapo maeneo km hayoView attachment 1589645View attachment 1589646
Kwa Iddi Azan yeye peke yake ndiye ana ghorofa pale au kuna nyingine?Umeona kwa idd Azam,kwa Mtama pale
Duh pande hizo Nna Wana wengi sana
Ova
Hata ukiwa unakatiza magomeni. Sura nyingi za kiume zimekaa kaa kipisi pisi kaliKwa mikumi syo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtaa wa idrisa mtaa mzima wmepanga wakina delicious
Ova