Maeneo yenye watoto wakali Dar

Bills na Tamal ni sehemu stahiki? Tuliza kichwa dogo.

Tatizo lako we unawaza malaya tu kila mahali. Mimi nina watu wangu wanajiheshimu na wanaenda kucheza densi. Pia nimesema Mwenge maeneo ya Tamali au nyuma ya kituo cha polisi ndipo dada zetu wengi wanaenda kusuka huko. Hakuna malaya. Kama malaya wapo ni 'drop in the ocean'!
 
Povu linakutoka, unadanganya wenzako.
 
Hahahah...mtu achongeshe funguo bila Gari...lol hii Mpya..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…