Maeneo yenye watoto wakali Dar

Maeneo yenye watoto wakali Dar

hembu tembelea Mwalimu Nyerere memorial Academy kisha urudi hapa.. Sema ukiwa na Genye hata dude liweje unaweza kuliona ni bonge la mrembo
 
from DIT corner to CBE... Akiba
pale kuna mchanganyiko wa Watoto wazuri hasa kutoka Tambaza, Zanaki, Jangwani, datastar college, utalii, cbe, dit, tpcs na shule nyingine kibao. Kila ikifikaga jioni huwa nakwendaga kutega pale kuyapa macho faida
 
We njoo mbande huku siku ya gulio j3 kuku wa kienyej kibwena
 
Yaani list yako bila kuitaja SiNza ni kosa sana, huku ndo kwenyewe.
 
Umepasahu MSOGA mkuu na kwenyewe ni balaaa....ingawa ipo nje kidogo ya Dar es salaam
 
Kwenye ndege kuna kila kitu, jila sample nzuri za wadada utapata...!
 
- Naomba kutumia GPS zenu wadau muweke maeneo yenye watoto wakali (kwa muonekano wa machoni) hapa Dar ili kuwasaidia wenzangu na mimi wanaosaka wachumba kuweza kufanikisha zoezi kwa urahisi zaidi.
- List yangu mimi inahusisha maeneo haya:
(1) Kigamboni Feri: Ebwana Dah! Mkiwa 'mmefungiwa' kwenye kile kichumba huku mnangojea kivuko kifike, ukipepesa macho huku na kule unaweza ukapata 'multiple visions' yani kushoto na kulia ni warembo wabichi wabichi ambao wana vigezo vyote.
(2) Mwenge karibu na Tamal Hotel: Mwenge ni eneo jingine potential. Sema siku hizi eneo hili limeathiriwa na kuhamishwa kwe stendi ila bado kuna 'residual' Kule nyuma ya Mwenge watoto wakali wakali wanaenda kusuka nywele. Niliwahi kufanya biashara mitaa ile mbona nilidata mwenywe kila saa napepesa macho tu huku siamini vinavyokatisha mbele yangu.
(3) Billicanas- Ile club ya Mbowe ndio funga kazi. Utadhani sijui hawa viumbe wameshushwa? Watoto ni warembo warembo weupeee. Hata sio rahisi kutofautisha weupe wa asili na ule wa dukani. Ninawataadharisha wenzangu na mimi Wasukuma wasikanyage hapo. Mnaweza mkahonga ng'ombe wooote!
(4) IFM- Hapa napo ni mashalaah. Kuna watoto utadhani wameshushwa kutoka wapi sijui... Angalau na siku hizi wameweka dress code angalau mtu unaweza ukatuliza akili ukasoma. Enzi zetu tunasoma pale watoto wamepiga pamba za hatari hatari ndio wanatokea lekcha. Kale kabumu mbona kalikuwa kanapata shida?
(5) Mlimani City: List yangu leo inaishia na hili eneo. Haya maeneo ni pasua kichwa kwa vile kila mtu anayekuja pale anajifanya wa kishua. Kila sista duu anayeingia pale kashika simu kubwa mkononi huku ananing'iniza funguo za gari hasa magari haya ya Toyota. Sasa sijui ni kweli huwa wanakuja na hayo magari au ni kwamba wamechongesha tu funguo ndio wanaranda nazo?

Haya na nyie ongezeeni maeneo...
Kaka database yako naikubali
 
Una hela dogo? Kweli wenda uko sawa kazi ya macho ni kuona na roho kutamani, utaishia kutamani wenye nyasi zao wanakula vilivyoiva.
 
Weeee koma kabisaaa. Uliacha bilicanas hao wote ni wanafunzi wanaotafuta elimu. Irudishe kwenye suruali kama unajipenda.
 
If only our eyes saw souls instead of bodies. How very different our ideals of beauty would be!
 
Kifo bwana kinasababu zake na huenda wewe ukawa sababu pia
 
pale kuna mchanganyiko wa Watoto wazuri hasa kutoka Tambaza, Zanaki, Jangwani, datastar college, utalii, cbe, dit, tpcs na shule nyingine kibao. Kila ikifikaga jioni huwa nakwendaga kutega pale kuyapa macho faida


Utakuwa mwanafunzi tu ww huna majukumu tafuta kitu kikuweke bize uachane na huo upuuzi
 
Back
Top Bottom