Maeneo yeye dhahabu Tanzania na hali ilivyo kwenye maeneo hayo

Maeneo yeye dhahabu Tanzania na hali ilivyo kwenye maeneo hayo

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wandugu hebu tufanye kucatalog maeneo yote inakopatikana na kuchimbwa dhahabu Tanzania. Nasikia kuwa sehemu nyingi zenye udongo mweusi(iron) na mwekundu (iron oxide) huwa ni rahisi kupatikana madini ya dhahabu. Sasa Tz kuna maeneo mengi sana yana dhahabu, tujuzane maeneo hayo na hali ya uchumbaji inavyoendelea

1. Geita. Huku nafikiri ndiyo kunaongoza kwa maswala ya uchimbaji wa dhahabu Tanzania.

2.Chunya, Mbeya. Huku wanaita Lupa gold belt/field. Huku kuna eneo kubwa sana lenye dhahabu na uchumbaji wake siyo mkubwa kama Geita.

3. Mara.

4. Tanga, Handeni huku wamegundua miaka si mingi.

5. Mpanda, Katavi

6. Iringa, huku waligundua miaka ya karibuni na sijui kama bado wanachimba.

7................
 
Nimekumbuka, Kwenye bonde la Usangu Mbeya kuna sehemu inaitwa Madibira, nasikia ilitoka dhahabu, sijui kama bado wanachimba.
 
Bahi, mpamantwa, chigongwe na maeneo jirani hadi karibu kabisa na Nala weighing bridge huo ni ukanda wa dhahabu.
Mkondo ni wa haja unatoka Iringa-Dom-Singida-Tabora (Nzega)-Shinyanga(Kahama na Shy DC kama yote)-Geita-Mwanza
Basi hii nchi imetapakaa dhahabu.
 
Back
Top Bottom