Maeneo yeye dhahabu Tanzania na hali ilivyo kwenye maeneo hayo

Iringa sehemu gani mkuu?
 
Kuna Economic geologist hapa? au geologist yeyote.

Nataka kufahamu mawili matatu.
 
Nenda pale pestana Pub Dodoma utapata dhahabu nyingi sana...
 
Watu wa dar na dhahabu wapi na wapi jamaniπŸ˜„πŸ˜„ ila wachache tu wanaoijua na kuishika, wengine wanaambulia kuiona kwenye runinga na mapicha πŸ˜„



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Hata Wazungu walichuma Africa wakajenga na kuiendeleza Ulaya kwahiyo hapo hakuna cha kushangaza sana Mkuu

(Kama nimeelewa uzi wako lakini)
 
Watu wa dar na dhahabu wapi na wapi jamaniπŸ˜„πŸ˜„ ila wachache tu wanaoijua na kuishika, wengine wanaambulia kuiona kwenye runinga na mapicha πŸ˜„



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
Kama ambavyo zinasambaa taarifa zilizochambuliwa kuhus kulima matikiti na mapapai, ingependeza na taarifa kuhusu uchimbaji wa dhahabu zingesambaa hivyo. Watu wenye mitaji wanaojishughulisha na dhahabu wana mkwanja mrefu sana. Nimekaa sehemu wanachimba kama mwaka nimeona mambo yao.
 
Na sasa bei yake iko juu sana. Kuna raia wanahela mbaya kupitia dhahabu, ule uchimbaji wa kuokoteza na bei kilanguzi havipo tena. Sifa zimuendee mwenda zake(Mnyonge mnyongeni)
Yes..kwenye dhahabu alitutetea sana wachimbaji wadogo .ingawa kulikua na utitiri wa kodi....!ss hv mwenye kisu ndo anavusha mpakani kiulaniiii
 

Aise.. ..sema serikali yetu haiaminiki, unakatiwa kaeneo, end of the day unaambiwa eneo hili limechukuliwa.. ..wazungu wanapewa kipaumbele kuliko wazawa, wanakatiwa maeneo makubwa na yenye dhahabu, sisi walala hoi tunaachiwa makapi.. ..



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Kuna dhahabu ya kutosha ila hatujajua jinsi ya kuitumia kwa manufaa ya nchi na wananchi wake

Itumie kwa manufaa yako wewe sio baba wa taifa utake kukomboa taifa zima.
 
Hali inaendelea vizuri tu. Nadhani jibu umepata, au unahitaji ujue nini zaidi?
Hayo maeneo yana ufukara wa kutisha,kuanzia Kahama,Kakola,ushirombo,Nyandwiga,Kerezia,Geita,ukifika vijijini utaamini unachokiona,
Mwanza,Geita,Kahama ilibidi iwe miji iliyoendelea kwa Miundombinu,na madhari maana madini yameanza kuchimbwa tangu 80s,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…