pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Ulivotangulia kwa kusema kwamba Maersk hawawezi wakafika Lamu wakati tayari wame'commit' rasmi inanieleza yote ambayo nataka kuyajua. Ugua pole mzee, ongeza ulcers za ziada na ikikupendaza pia pandisha BP.Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Hahah asee. Kumbe ndio mnachoshangilia hapa! Maersk kupita lamu? But sio makosa yenye Nyinyi bado sana ukanda wa kwenye maji na bahari.Ndio maana nikakuambia usome taarifa kwanza. Hamna waliposema kwamba Maersk tayari wapo Lamu, au kwamba makao yao rasmi yatakuwa Lamu. Maersk wamesema kwamba meli zao na container wanazosafirisha zitakuwa za kwanza kutua Lamu.
Dah! Hadi sasa hivi bado hujajua kwamba bandari ya Lamu haijamaliza kujengwa? Biashara kwenye bandari ya Lamu bado haijazinduliwa rasmi, ni bandari mpya. Maersk kama shipping line kubwa kabisa duniani kuonesha confidence kwenye mradi kama huo sio jambo la kawaida. Mazingira mazuri ya kibiashara na confidence ya wawekezaji na wanabiashara ni msamiati kwa Tz ila sio kwa Kenya. Alafu Maersk wanaitumia sana bandari ya Mombasa na nakuhakikishia kwamba mizigo ambayo wanashusha Mombasa tu ni mingi zaidi ya bandari zote za Tz kwa pamoja. Tafakari hayo.Hahah asee. Kumbe ndio mnachoshangilia hapa! Maersk kupita lamu? But sio makosa yenye Nyinyi bado sana ukanda wa kwenye maji na bahari.
Huku anapita Dar, Tanga, mtwara na Zanzibar na wala haturingi. Ndio maana nimekuuliza kuna jipya gani maersk kushusha makasha hapo lamu?
Jipya Ni kuwa Maersk sealand wametangaza kuwa watafanya biashara na Lamu port. Habari ndio hiyo, swali lingiHahah asee. Kumbe ndio mnachoshangilia hapa! Maersk kupita lamu? But sio makosa yenye Nyinyi bado sana ukanda wa kwenye maji na bahari.
Huku anapita Dar, Tanga, mtwara na Zanzibar na wala haturingi. Ndio maana nimekuuliza kuna jipya gani maersk kushusha makasha hapo lamu?
Habari Ni kuwa Maersk sealand wametangaza kuwa watafanya biashara na Lamu port. Swali lingine haswa kuhusiana na bandari yetu mpya?Hahah asee. Kumbe ndio mnachoshangilia hapa! Maersk kupita lamu? But sio makosa yenye Nyinyi bado sana ukanda wa kwenye maji na bahari.
Huku anapita Dar, Tanga, mtwara na Zanzibar na wala haturingi. Ndio maana nimekuuliza kuna jipya gani maersk kushusha makasha hapo lamu?
Still tunawaongoza upande wa bandari.. Ndio kwanza hata operations hapo bado mnakuja kujitapa hapa wakati tuko na nne zinaoperate? Hii habari mngesimuliana vyumbani kwenyu tu.Jipya Ni kuwa Maersk sealand wametangaza kuwa watafanya biashara na Lamu port. Habari ndio hiyo, swali lingi
Habari Ni kuwa Maersk sealand wametangaza kuwa watafanya biashara na Lamu port. Swali lingine haswa kuhusiana na bandari yetu mpya?
Weka evidence ya unayosema buda. Otherwise hii yako ni kukurupuka tu.Lamu is a white elephant, Ethiopia na SS ndio wamejengewa hii bandari lakini mpaka saivi hakuna mwenye time nayo, wote wapo Djibouti, railways na barabara zao wamezielekeza Djibouti sasa sijui hii Bandari kajengewa nani? At the same time Mombasa has been used under its full utilisation capacity for decades
Kukurupuka vepee?
Mmetuzidi vipi bandarini? Mombasa is the largest port in east africa and the 5th largest in Africa. The tonnage of cargo in Mombasa alone is more than what all your ports handle in a whole year. Be objective in your argumentsStill tunawaongoza upande wa bandari.. Ndio kwanza hata operations hapo bado mnakuja kujitapa hapa wakati tuko na nne zinaoperate? Hii habari mngesimuliana vyumbani kwenyu tu.
Na hiyo maersk sio kama zamani ndio maana inakimbilia port kama lamu. Na sio guarantee kwamba watatumia hiyo port kwa operations zao, hiyo itadepend na freight volume ya lamu port. Ndio kwanza mnaanza kufunga cranes maana yake hata bado hamuwezi bulk handling.
Bandari zenu zote zikijumuishwa hazifiki hata busy ya Mombasa...Hilo unalijua?Still tunawaongoza upande wa bandari.. Ndio kwanza hata operations hapo bado mnakuja kujitapa hapa wakati tuko na nne zinaoperate? Hii habari mngesimuliana vyumbani kwenyu tu.
Na hiyo maersk sio kama zamani ndio maana inakimbilia port kama lamu. Na sio guarantee kwamba watatumia hiyo port kwa operations zao, hiyo itadepend na freight volume ya lamu port. Ndio kwanza mnaanza kufunga cranes maana yake hata bado hamuwezi bulk handling.
Hili silijui, naomba takwimu.Bandari zenu zote zikijumuishwa hazifiki hata busy ya Mombasa...Hilo unalijua?
Was then largest shipping line in the world. See the difference?Maersk is the largest shipping company in the world. To be the first ones to dock at the three berths in Lamu is a show of confidence to investors in the port of Lamu. It's not about your petty comparisons which are neither here nor there. carter
What's your point?Was then largest shipping line in the world. See the difference?
Pia meli zao zimekua zikitua Mombasa tangu 1997MAERSK wameanza kuja dar miaka na miaka na wana ofisi kabisa nna ndugu yangu anafanyakazi huko miaka mingi
Maersk bongo aifiki mtwara port tuDah! Hadi sasa hivi bado hujajua kwamba bandari ya Lamu haijamaliza kujengwa? Biashara kwenye bandari ya Lamu bado haijazinduliwa rasmi, ni bandari mpya. Maersk kama shipping line kubwa kabisa duniani kuonesha confidence kwenye mradi kama huo sio jambo la kawaida. Mazingira mazuri ya kibiashara na confidence ya wawekezaji na wanabiashara ni msamiati kwa Tz ila sio kwa Kenya. Alafu Maersk wanaitumia sana bandari ya Mombasa na nakuhakikishia kwamba mizigo ambayo wanashusha Mombasa tu ni mingi zaidi ya bandari zote za Tz kwa pamoja. Tafakari hayo.
Hakuna aliyebisha Maersk kufika Mchwara ama Taka, Mada kuu Ni Maersk Kutangaza kuwa wako tayari kufanya kazi na bandari mpya ya Lamu.Maersk bongo aifiki mtwara port tuView attachment 1229275View attachment 1229276