pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!![]()
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Ulivotangulia kwa kusema kwamba Maersk hawawezi wakafika Lamu wakati tayari wame'commit' rasmi inanieleza yote ambayo nataka kuyajua. Ugua pole mzee, ongeza ulcers za ziada na ikikupendaza pia pandisha BP.