Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Mmoja anamwambia mwenzie kwamba uje kukata mauno kwenye show yangu hatujui alikua anamanisha au kejeli ..jamaa akajibu nashukuru sana kwa presentation yako ..
Ila tuingie makubaliano (am not cheap) kwamba utai market product yangu ndio mengine yanafuata ...
Jamaa upande wa pili kusikia hivyo kanyuti ....!;
Yooh pop it in!
Ila tuingie makubaliano (am not cheap) kwamba utai market product yangu ndio mengine yanafuata ...
Jamaa upande wa pili kusikia hivyo kanyuti ....!;
Yooh pop it in!