Mafaili ya ha tunnels yame expire, Nini njia mbadala?

Mafaili ya ha tunnels yame expire, Nini njia mbadala?

DEICHMANN

Senior Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
157
Reaction score
123
Habari, mafaili ya ha tunnel yamekwisha expire.Msaaada nifanyeje?
 
Boom Pack inakufaa
Mmh.. mkuu mbona kama sikuelewi hivi[emoji848][emoji848] Boompack, unasema ni bei nafuu, sasa ina utofauti gani na miandao mingine.
Hii hapa chini ni BoomPack data only kwa saa 24
Screenshot_20230107-001200.jpg
 
Habari, mafaili ya ha tunnel yamekwisha expire.Msaaada nifanyeje?
Shida mnajionesha sana. Badala mle kimya kimya au muunde group telegram private nyie mnajionyesha mnaweza utafikiri hiyo mitandao hawawezi kufanya chochote.
Wengine mpk wanafungua YouTube channel kbsa kujionesha wanaweza. Sasa hivi ukipita kwenye channel ya jamaa mmoja hivi Telegram, pamenuna kimya. VPN zote jamaa wamepiga pini.
Sasa hivi ni mwendo wa kula kimya kimya tu
 
Sijutii maamuzi niliyofanya kujisajili tigo postpaid, napewa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi, sawa na shillingi 750 kwa kila GB.

N:B: postpaid imefutwa kujisajili kwa wateja wapya, ni maalum kwa waliojisajili tu kabla haijafungiwa.
 
Sijutii maammuzi niliyofanya kujisajili tigo postpaid, napewa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi.

N:B: postpaid imefutwa kujisajili kwa wateja wapya, ni maalum kwa waliojisajili tu kabla haijafungiwa.
Kuna chaka moja hivi nataka nilipie mwezi mmoja nione km shiling 11500 kama kweli internet ya ni unlimited
 
Back
Top Bottom