Mafaili ya ha tunnels yame expire, Nini njia mbadala?

DEICHMANN

Senior Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
157
Reaction score
123
Habari, mafaili ya ha tunnel yamekwisha expire.Msaaada nifanyeje?
 
Habari, mafaili ya ha tunnel yamekwisha expire.Msaaada nifanyeje?
Shida mnajionesha sana. Badala mle kimya kimya au muunde group telegram private nyie mnajionyesha mnaweza utafikiri hiyo mitandao hawawezi kufanya chochote.
Wengine mpk wanafungua YouTube channel kbsa kujionesha wanaweza. Sasa hivi ukipita kwenye channel ya jamaa mmoja hivi Telegram, pamenuna kimya. VPN zote jamaa wamepiga pini.
Sasa hivi ni mwendo wa kula kimya kimya tu
 
Sijutii maamuzi niliyofanya kujisajili tigo postpaid, napewa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi, sawa na shillingi 750 kwa kila GB.

N:B: postpaid imefutwa kujisajili kwa wateja wapya, ni maalum kwa waliojisajili tu kabla haijafungiwa.
 
Sijutii maammuzi niliyofanya kujisajili tigo postpaid, napewa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi.

N:B: postpaid imefutwa kujisajili kwa wateja wapya, ni maalum kwa waliojisajili tu kabla haijafungiwa.
Kuna chaka moja hivi nataka nilipie mwezi mmoja nione km shiling 11500 kama kweli internet ya ni unlimited
 
Package za Airtel kwa mwezi
7GB kwa 10k
22GB kwa 20k
Dk 1,500+25GB kwa 30k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…