Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ndio maana walinda Ligacy na Machadema wanamshambulia Samia Kwa hoja za kutafutiza ,chuki na ukabila baada ya kuona walichotarajia ashindwe imekuwa kinyume chake.Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki.
Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo.
USIONE WALIOFANIKIWA WAKAWA WANAJITENGA SANA NA WATU UKAJUA WANARINGA KUMBE WANAOGOPA CHUKI ZETU.
View attachment 2987393
Kweli tabia ya kuomba omba pesa inafanya mtu anamkataa mtuWanajitenga sababu mnaomba omba sana pesa, acheni kuomba omba uone