Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 34
- 25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema MAFANIKIO .kwani wewe neno mafanikio unalielewaje?Akha! kwahiyo mnatubadirikia tena si mlisema uchawi na freemason!, kwanini mnatuchanganya sasa tushike lipi..??
nawewe nidhamu unaielewajeAmesema MAFANIKIO .kwani wewe neno mafanikio unalielewaje?
Sioni kama kuna haja ya kuwazungumzia watu wengine, Maana kila mtu amebeba dhana yake juu ya mafanikio yake. Je, wewe kwa upande wako unatafsiri vipi mafanikio?Kwanza hili neno mafanikio ni dhana pana sana.
Watu wanapenda kulifanyia Hasty generalization.
Kitu unachodhani wewe kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine ni kitu kidogo sana.
Mfano kwa waafrika wengi hasa watanzania mtu akishajenga nyumba akanunua gari, akapeleka watoto wake English mediums. Basi anaona hayo ndio mafanikio.
Kumbe kwa wengine tunamuona bado maskini tu, Hana mafanikio yeyote.