MAFANIKIO huwa yapo ila ambacho hakipo ni gharama za kuyalipaia hayo mafanikio

MAFANIKIO huwa yapo ila ambacho hakipo ni gharama za kuyalipaia hayo mafanikio

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama.

Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency)

Hivyo utofauti wa aliyeshindwa kufanikiwa na aliyefanikiwa upo hapo katika kulipa gharama tu.

So make sure you play smart

Prize is always there but price is not always there, so pay a price as to get prize.
 
Back
Top Bottom