Mafanikio: Miaka 6 ya Mo Dewji ndani ya Simba sc. Je, ni halali abaki au aende?

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa

Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc

Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu

Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu

Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC

katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....

[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)

[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)

[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)

[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)

[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)

[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)

Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..

Wewe unasemaje?

AENDE au ABAKI

Mimi nasema ABAKI.

 
Super Cup ipi hiyo Simba atashiriki?[emoji848]

Mi najua super cup atacheza mshindi Kati ya bingwa wa Champions League na Yule wa Confederation.
Ambapo bila wasiwasi itakua ni
Young Africans [emoji172] Vs Mamelody sundown [emoji169]

Mbumbumbu huu mwaka mtakoma [emoji28][emoji1787]
 
HUNA AKILI


soma vizuri.
 
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa....
Hizi ndio propaganda zenu zinazowapotezea muda, simamieni basi tuone hayo mafanikio yenu ndio kweli sasa hivi hakuna covid wala lockdown onyesheni kile mlicho nacho
 
Super League ni kama bonanza tuu la caf kwasababu hakuna vgezo vnavyoleta maana kwa washiriki, caf wamejiamulia tuu nani ashiriki na nani asishiriki
 
Hizi ndio propaganda zenu zinazowapotezea muda, simamieni basi tuone hayo mafanikio yenu ndio kweli sasa hivi hakuna covid wala lockdown onyesheni kile mlicho nacho
Unatumia nini kufikiri?


Kwani kulipokuwa na COVID19 na Hizo lockdown utopolo ilikuwa imekufa kwa muda au nayo ilikuwepo?????
Kwahiyo covid imehusikaje hapa?


Mkiambiwa hamna akili mnalalamika.


HUNA AKILI.
 
Unatumia nini kufikiri?


Kwani kulipokuwa na COVID19 na Hizo lockdown utopolo ilikuwa imekufa kwa muda au nayo ilikuwepo?????
Kwahiyo covid imehusikaje hapa?


Mkiambiwa hamna akili mnalalamika.


HUNA AKILI.
Kolo mbona unapanick, mmetaka ushauri tunawaambia mnamind basi kaeni na ukolo wenu mmpasuane wenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…