DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa
Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc
Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu
Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu
Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC
katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....
[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)
[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)
[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)
[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)
[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)
[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)
Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..
Wewe unasemaje?
AENDE au ABAKI
Mimi nasema ABAKI.