Mafanikio ni dhana pana sana, Motivational speakers eleweni kwamba, Kila mtu ana namna yake anavyo tafsiri mafanikio

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
9,830
Reaction score
20,686
To whom brain 🧠 is given, Sense is expected.

Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana.

Kuna wimbi kubwa sana la Motivational speakers ambao wao hujiona kwamba ndio wana uelewa mpana sana kuhusu suala zima la mafanikio.

Yani hawa motivational speakers hudhani kwamba wao tu ndio wanaelewa kuhusu maisha na mafanikio ya kila binadamu hapa duniani. Wanashindwa kujua na kuelewa kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kuhusu maisha na namna anavyotaka mafanikio yake yawe.

Kuna msemo mmoja wa kimombo unasema "Beauty lies in the eyes of the beholder" kwamba uzuri wa kitu au jambo upo machoni pa mtazamaji, mtu mwenyewe.

Kitu unachokiona kwako ni kizuri sana, kwa mwingine anaweza kukiona cha kawaida au kibaya.

Vivyo hivyo, Linapokuja suala zima la "mafanikio" kila mtu hapa duniani ana namna yake anavyo tafsiri na kila mtu huwa na vipaumbele vyake kuhusu mafanikio ya maisha yake.

Sasa utakuta kuna hawa motivational speakers uchwara ambao hata hawatambui na wala hawaelewi kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kuhusu mafanikio. Wao hukurupuka tu na kuanza kushauri jamii nzima ya watu.

Utawasikia wakisema, Ukitaka kufanikiwa, Mara oh! fanya hivi, fanya hiki, fanya kazi hivi, anzisha biashara hii, acha tabia hii n.k

Watu wengi hufanya Hasty generalization kwenye suala zima la mafanikio. Watu wanatumia maisha yao binafsi, maisha ya mtu fulani au maisha ya jamii fulani ya watu kufanya hitimisho la mafanikio kwa watu wote.
Kwamba ukifuata nyayo za mtu au watu fulani ndio utafanikiwa.

Wanasahau kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kuhusu mustakabali wa mafanikio katika maisha yake.

Kwa mfano, Waafrika wengi hasa watanzania mtu akishajenga nyumba, akanunua gari, akapeleka watoto wake English mediums na kufungua biashara. Basi anaona hayo ndio mafanikio na ndio kamaliza kila kitu maishani. Wengi huona kwamba haya ndio mafanikio.

Na ndio hawa watu kutwa kucha wapo kwenye social media kujifanya wao ndio ma experts wa kushauri jamii nzima kuhusu mafanikio.

Wanasahau kwamba kuna watu mafanikio yao katika maisha sio kujenga nyumba, sio kuzaa, sio kusomesha, sio kufanya biashara, sio kununua gari.

Watu wengi hawajui na hawatambui kwamba kuna watu mafanikio yao hapa duniani ni kuona kwamba wanatatua changamoto zinazoikabili Dunia kwa kuleta majibu chanya. Ambapo kwao majibu hayo, watu hawa ndio huona mafanikio kwao. Kutokana na tafiti zao za kiuvumbuzi.

Watafiti, wanasayansi, wadadisi na wavumbuzi mitazamo yao kuhusu "mafanikio" Ni kuona kwamba wanatatua changamoto zinazoikabili Dunia kwa kuleta majibu, njia na mbinu za ku solve matatizo hayo hapa duniani.

Sasa utakuta kuna mtu amejikakamua akanunua ist 🚗 tena kwa mkopo, Anaanza kujifanya bingwa wa maisha wa kila sekta na kuanza motivations uchwara kuhusu mafanikio kwenye social media.
Kumbe ni ulimbukeni na ushamba unamsumbua...😄

Watu kama kina Albert Einstein, Isaac Newton, Nikola Tesla, Marie Curie, Ernest Rutherford, Michael Faraday, Max Planck, Alessandro Volta, Stephen Hawking, Archimedes, Galileo Galilei pamoja na wanasayansi na watafiti wengine wengi.

Wangekuwa na hizi mentality za kibongo bongo kuhusu mafanikio sidhani kama leo hii kungekuwa na mafanikio makubwa katika nyanja za sayansi na teknolojia.

Tatizo la jamii ya watu wa sasa hasa waafrika ni kudhani kwamba mafanikio ni kumiliki mali na biashara tu.

Wanasahau kwamba kuna watu wana mitazamo tofauti kuhusu mafanikio, Pia kuna watu hawana hata lengo la kumiliki hizo mali na biashara. Na wala sio vipaumbele vyao.

Mafanikio sio kumiliki mali au biashara tu.

Success is subjective.

I'm out.
 
Mie nikijenga shule Kijijini nilichotoka ikawa unatumia English Halafu uwe chini ya serikali,
Ishu Iko subjective mno. Kuna mtu akishajenga anaona it's milestone achieved ,akiwa na ufunguo wake mkononi basi kinachofuata ni kula mbususu na kupaki kwenye viwanja vikali
 
Wengi wa wamotishaji wanahitaji motisha. Ni sawa na wanaohubiri na kukemea dhambi wakati wao ndiyo watendaji wakuu wa hizo dhambi.
 
Kuna mtu mafanikio yake ni kununua gari, mwingine ni kujenga nyumba, mwingine account iwe na $1M, mwingine ni kula vizuri, mwingine ni kunywa pombe nyingi, mwingine ni kula misosi,mwingine kusafiri duniani kote, mwingine kumla demu mweupe mwenye tako kubwa, mwingine kula mademu wengi, mwingine anataka awe na magari ya kifahari, mwingine anataka awe maarufu, mwingine anataka kwenda Mbinguni/peponi

Kila mtu na mafanikio yake.
 
Ndugu Ata mtu anapofariki huwa tunasema yale mema yake tutayaenzi na mabaya yake tunayafukia
Bado unaamini katika uzwazwa huu wa tapeli aitwaye Mtume Paulo siyo? Usiue, wao waliua, usizini, wanazini sana tu, usiibe, walituibia, usiseme uongo, walituongopea na bado tukaamini ni dini!
 
To whom brain 🧠 is given, Sense is expected.

Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana.

Kuna wimbi kubwa sana la Motivational speakers ambao wao hujiona kwamba ndio wana uelewa mpana sana kuhusu suala zima la mafanikio.

Yani hawa motivational speakers hudhani kwamba wao tu ndio wanaelewa kuhusu maisha na mafanikio ya kila binadamu hapa duniani. Wanashindwa kujua na kuelewa kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kuhusu maisha na namna anavyotaka mafanikio yake yawe.

Kuna msemo mmoja wa kimombo unasema "Beauty lies in the eyes of the beholder" kwamba uzuri wa kitu au jambo upo machoni pa mtazamaji, mtu mwenyewe.

Kitu unachokiona kwako ni kizuri sana, kwa mwingine anaweza kukiona cha kawaida au kibaya.

Vivyo hivyo, Linapokuja suala zima la "mafanikio" kila mtu hapa duniani ana namna yake anavyo tafsiri na kila mtu huwa na vipaumbele vyake kuhusu mafanikio ya maisha yake.

Sasa utakuta kuna hawa motivational speakers uchwara ambao hata hawatambui na wala hawaelewi kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kuhusu mafanikio. Wao hukurupuka tu na kuanza kushauri jamii nzima ya watu.

Utawasikia wakisema, Ukitaka kufanikiwa, Mara oh! fanya hivi, fanya hiki, fanya kazi hivi, anzisha biashara hii, acha tabia hii n.k

Watu wengi hufanya Hasty generalization kwenye suala zima la mafanikio. Watu wanatumia maisha yao binafsi, maisha ya mtu fulani au maisha ya jamii fulani ya watu kufanya hitimisho la mafanikio kwa watu wote.
Kwamba ukifuata nyayo za mtu au watu fulani ndio utafanikiwa.

Wanasahau kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kuhusu mustakabali wa mafanikio katika maisha yake.

Kwa mfano, Waafrika wengi hasa watanzania mtu akishajenga nyumba, akanunua gari, akapeleka watoto wake English mediums na kufungua biashara. Basi anaona hayo ndio mafanikio na ndio kamaliza kila kitu maishani. Wengi huona kwamba haya ndio mafanikio.

Na ndio hawa watu kutwa kucha wapo kwenye social media kujifanya wao ndio ma experts wa kushauri jamii nzima kuhusu mafanikio.

Wanasahau kwamba kuna watu mafanikio yao katika maisha sio kujenga nyumba, sio kuzaa, sio kusomesha, sio kufanya biashara, sio kununua gari.

Watu wengi hawajui na hawatambui kwamba kuna watu mafanikio yao hapa duniani ni kuona kwamba wanatatua changamoto zinazoikabili Dunia kwa kuleta majibu chanya. Ambapo kwao majibu hayo, watu hawa ndio huona mafanikio kwao. Kutokana na tafiti zao za kiuvumbuzi.

Watafiti, wanasayansi, wadadisi na wavumbuzi mitazamo yao kuhusu "mafanikio" Ni kuona kwamba wanatatua changamoto zinazoikabili Dunia kwa kuleta majibu, njia na mbinu za ku solve matatizo hayo hapa duniani.

Sasa utakuta kuna mtu amejikakamua akanunua ist 🚗 tena kwa mkopo, Anaanza kujifanya bingwa wa maisha wa kila sekta na kuanza motivations uchwara kuhusu mafanikio kwenye social media.
Kumbe ni ulimbukeni na ushamba unamsumbua...😄

Watu kama kina Albert Einstein, Isaac Newton, Nikola Tesla, Marie Curie, Ernest Rutherford, Michael Faraday, Max Planck, Alessandro Volta, Stephen Hawking, Archimedes, Galileo Galilei pamoja na wanasayansi na watafiti wengine wengi.

Wangekuwa na hizi mentality za kibongo bongo kuhusu mafanikio sidhani kama leo hii kungekuwa na mafanikio makubwa katika nyanja za sayansi na teknolojia.

Tatizo la jamii ya watu wa sasa hasa waafrika ni kudhani kwamba mafanikio ni kumiliki mali na biashara tu.

Wanasahau kwamba kuna watu wana mitazamo tofauti kuhusu mafanikio, Pia kuna watu hawana hata lengo la kumiliki hizo mali na biashara. Na wala sio vipaumbele vyao.

Mafanikio sio kumiliki mali au biashara tu.

Success is subjective.

I'm out.
We jamaa uko kwenye ile team ya wachokonozi.?
 
Back
Top Bottom