Issue ya uhalali au sio uhalali ni issue ya kisheria au Imani ya kidini,Hata kama ni kwa njia isiyo halali?
Haya Sasa ndio mafanikio, unatoka jasho la kutosha! Na risk kama zoteSwali langu ni je? kwa mtu anayefanya shughuli zisizo halali kama vile ujambazi au ufisadi na anamiliki nyumba
nzuri, magari na vitu vya thamani kubwa, tunaweza kusema amefanikiwa?
Ndiyo.Hata kama ni kwa njia isiyo halali?
Sio halali kwako.Hata kama ni kwa njia isiyo halali?
NdiooHata kama ni kwa njia isiyo halali?
Get rich or die tryingIssue ya uhalali au sio uhalali ni issue ya k
isheria au Imani ya kidini,
Hata ukifanikisha jambo ambalo sio halali ni mafanikio/umefanikisha japo kisheria jambo hilo ni kosa ila haibadili tafsiri ya kufanikiwa/kufanikisha.
Sawa mkuuMafanikio makubwa kuliko yote ni Ile Hali ya mtu kuweza kuzituliza Hali za moyo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app