MAFANIKIO YA AWAMU YA 5

MAFANIKIO YA AWAMU YA 5

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
MAFANIKIO YA AWAMU YA 5 SASA YANAANZA KUONEKANA
1. Kuna ongezeko kubwa la waumini makanisani japo sadaka haiongezeki (watu wanatafuta pa kuzugia kusukuma weekend)
2. Ndoa zimeendelea kuimarika na upendo wa familia unarejea kwa kasi (wababa wanarudi nyumbani kwa wakati)
3. Kuna kila dalili ya anguko la viccoba (watu wanakimbia na marejesho)
4. Kuna upungufu mkubwa wa paka maeneo ya bar na restaurants (watu wanalamba mpaka sahani na hakuna mabaki)
5. Kuongezeka kwa vibanda vya utumbo mitaani (nyama, maini na kuku vinaliwa kwa maelekezo ya daktari)
6. Kuongezeka kwa uhasama kati ya binadamu na mbuzi (binadamu kuingilia malisho ya mbuzi kwa kuongeza milo ya nyasi)
7. Kumbi za sherehe kugeuka maghala (harusi na sendoff kufanyika majumbani)
8. Kupungua kwa vitambi na nyama uzembe bila mazoezi (viroba ndo mpango mzima)
 
Back
Top Bottom