Mafanikio ya bodi ya pamba Tanzania

Mafanikio ya bodi ya pamba Tanzania

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
842
Reaction score
1,197
[emoji2389] Viuadudu chupa 11,839,225 zenye Thamani ya Bilioni 51 kwa ajili ya wakulima

[emoji2390] Serikali inatarajia kupata mavuno ya Pamba Tani 700,000 kwa Mwaka

[emoji2391] Vinyunyizi 42,584 zenye Thamani ya Bilioni 4

[emoji2392] Tani 22,000 za Mbegu ya Pamba zimesambawa nchini

[emoji2393] Ndege 20 zisizo na rubani zenye Thamani ya Millioni 400 kwa ajili ya Viuadudu

[emoji2394] Baiskeli 2500 kwa Wakulima wawezeshaji na Pikipiki 250 kwa Maafisa ugani

IMG-20230323-WA0033.jpg

 
Back
Top Bottom