Mafanikio Ya Diamond Ni Aibu Kubwa Kwa Waandaaji wa KTMA

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Diamond Platinum amezidi kuonyesha ubora wake si kwa Tanzania tu bali Africa na ulimwengu mzima... Ubora huo unaonekana kwenye tunzo mbali mbali anazozidi kunyakua kadri siku zinavyosonga, kinachonisikitisha zaidi ni kwamba nyimbo zinazomfanya achukue tunzo hizo za kimataifa ndo zile zile ambazo zilitumiwa na KTMA ambapo aliambulia baadhi ya tunzo chache tu na zingine kwenda kwa mtu asiyestahili wakati ni wazi kabisa zilikuwa zake,... Hii ni aibu kubwa kwa KTMA natumai siku nyingine watakuwa na weledi zaidi kuliko kuendeshwa na hisia za mashabıki.
 
Mh mh ?? Umepiga kura lakini??
 
Kwani hizo nazo tuzo?? hazina hadhi kabisa ningependa hta mwakani wasimuweke!!!!
 
Ameshinda tuzo ya MTV EMA leo

Baba Tiffah hongera sana
 
Ifike hatua ss tuache kumshindanisha diamond na msanii mfa maji kama kiba, mshindanishe kiba na dimpoz, from today nisisikie huo upuuz
 
Speecheless🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Angrrrrrrrrr diamond hizi sifa sasa, how can u???hata mhindi?? Shardcole embu nikumbushe tena? Population ya China ni billions ngapi vile??
 
Last edited by a moderator:
Ifike hatua ss tuache kumshindanisha diamond na msanii mfa maji kama kiba, mshindanishe kiba na dimpoz, from today nisisikie huo upuuz
Usipate shida kwa hilo manake, hata wale wa Kiba mwenyewe wakikuta issue za Diamond, huwa reference yao ni WizKid na sio Kiba tena!
 
Usipate shida kwa hilo manake, hata wale wa Kiba mwenyewe wakikuta issue za Diamond, huwa reference yao ni WizKid na sio Kiba tena!

Hahahahaha miambiziiiiii nasubiri waanze kutusakizia Chrisbrown!!!
 
Usipate shida kwa hilo manake, hata wale wa Kiba mwenyewe wakikuta issue za Diamond, huwa reference yao ni WizKid na sio Kiba tena!
Wameshanyooka mkuu.
 
Tunataka Diamond ashindanishwe na kina Psquare, wizkid... Tafadhali sana... Hii ni kukuza mziki wetu... Sio kumlinganisha na wauza chumvi
 
shida ilikuwa wapiga kura ndo walompigia mlitaka wasemeje wakati nyie ndo mlitakiwa mpige kura kwa daimond
 
Mkuu unapata shida sana..
kili music award kwa kama miaka 2 inaamuliwa na wema (team wema) CAN U IMAGINE
Unakumbuka kauli yake baada ya kiba kushinda "nilitaka apate zote"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…