KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Watanzania bwana mna mambo ya ajabu, diamond anasimamisha watu kama justin beiber, kama drake, kama rihanna, kama beyonce?Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Mkuu una roho mbayaa aisee, hivi ungekuwa ni wewe........Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
WEWE NDIYE UTAKUWA UNATUAGA HIVYO.ISRAELI AMESHAKUINGIA HIVYO ANZA KUANDIKA WOSIAKitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Mkuu mi si naelezea hali halisi, hata wewe hapo leo ghafla ukianza kuporomosha majumba, huwezi chukua miaka 7.Mkuu una roho mbayaa aisee, hivi ungekuwa ni wewe........
Nimakosa kumtabiria MTU kifo.Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Duh, kumbe na Ali Kiba naye anawaaga watu huko Fiesta? Ni dalili kuwa atakufa hivi karibuni.Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Watanzania bwana mna mambo ya ajabu, diamond anasimamisha watu kama justin beiber, kama drake, kama rihanna, kama beyonce?
Justin Beiber akipita mtaani mabinti wanavyomkimbilia hatari tupu.
Christ Brown mwaka juzi alipoga show ghana akalipwa ela yenye thaman ya pesa ya madafu bils 2.5, mpaka watu wakalalamika kwanini nchi masikini kama ghana inagawa mpunga mwingi hivyo?
Mbona hao hawajafa?
Kwa hiyo conclusion kutoka na huyo seki ni kila anayepata mafanikio basi kinachofuata ni kufa.Mkuu mi si naelezea hali halisi, hata wewe hapo leo ghafla ukianza kuporomosha majumba, huwezi chukua miaka 7.
Mfano mzuri, yule marehemu Seki lusekelo,(mfanyabiashara wa madini-Tanzanite) mimi nimeishi nae, kwao walikua masikini, wakutupwa enzi hizo sekondari, alisoma kwa shida sana, akafaulu akaenda Chuo kikuu, alivyomaliza aliajiriwa mgodi wa Bulyanhulu, akafanya kazi miezi 6 tu, akaenda Mererani, akaanza kupata hela za ajabu, sasa ivi ni historia.
Mkuu imani huja kwa kusikia.
Kwa kifupi muziki ni kazi ya Shetani Mwanamuziki yoyote awe mkubwa au mdogo jua anafanya kaz ya Shetani. Shoo afanyie uwanjani mwingine sebuleni wote wanafanya kaz ya ibilisMi namwomba asali na afunge sana. Aachane na uhuni kwani pia ibilisi ndo njia zake izo.
Yaani wewe kwanza akili huna,pili,umejifunza,au umefundishwa vibaya dini au imani yako,kwa ufupi,mambo unayoyaamini ni batili,tafuta msaada,nenda shule upate elimuKitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Mkuu hata hujanielewa.Kwa hiyo conclusion kutoka na huyo seki ni kila anayepata mafanikio basi kinachofuata ni kufa.
And by the way hakuna kinachoshangaza maana lazima mtu afe na hakuna muda sahihi wa kufa.
Sedekia je utasemaje kuhusu yeye?Kupata sifa na umaarufu mkubwa bila kumrudishia Mungu sifa na Utukufu hiyo ni hatari sana inayoweza kupelekea kifo cha mhusika!..