KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).
Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.
Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.