Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

Kwa uhuni wa mondi zipu mbovu wa kugonga mbichi hachagui demu ile mradi ana mbunye ningekuelewa maana ukimwi kama hana basi unamnyemelea lakini kwa hayo mengine utakua umekula maharage yaliyo chacha we ni mtabiri au kuvimbirwa tu # hallelujah
 
Una mawszo ya kimasikini... Unawakilisha kundi la walioshindwa na kubaki kuombea wengine washuke....
 
Mtu mwenye wivu, kijiba cha roho, mnafiki, huwa wana maneno mabaya kuliko mchawi. Fanyeni kazi muacheni Naseeb ameamua kujituma
 
Katika hali ya ubinadamu, mtu hutamani asionekane mwongo na kama alipata kuongea jambo watu wakampinga sana, atatamani ukweli udhihirike!!!

Wewe ndugu katika hali hiyo lazima nafsini mwako ungetamani jambo hilo litokee ili uonekane ni namna gani ulivyo mtu wa maono ili hatimae useme "nilisema!" Huku wapumbavu nao wa admire "maono" yako wakati kimsingi hakuna cha maono wala nini bali ni nafsi iliyotopewa na fikra za kishetani!!!
 
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).

Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.

Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
kwani kutoa roho ni kazi ya ibilisi mkuu? ingekuwa kukubalika sana ndo dalili za kifo cha karibu basi leo hii michael jackson tungekuwa tumeshamzika kitambooo,tena nazani pengine miaka ile aliyokufaga bob marley!

Vipi lakini kuhusu watu kama kina psquare ambao walivuma sana na kwenye show zao watu walikuwa wakizimia baazi yao kwa wingi wa watu! au unaachaje kumuhusisha davido katika mawazo yako haya?

Mwisho wa siku we jamaa ni muongo labda iwe ndo unamuombea afe mapema ili uje ujisifu ulitabiri...God may give him long life,ili at least aje apate fikra hata ya kutubu kwanza kabla hajakutana na mola wake katika mazingira aliyokuwa nayo sasa hivi...
 
yaani mmepiga ramli za kwamba anashuka kimziki weee,mpaka mmeshindwa, sasa hivi ndo mmeamua mumtabirie kufa yeye kabisa badala ya kufa kimziki!!! aise kweli bongo bahati mbaya (BBM)
 
Ilikuwa hvyo2 kwa Lowasa lkn matokeo yake walitangulia walio mtabilia kifo El mbaka leo anadunda tu
 
Kijana kama wewe kuamini kwenye ushirikina ni upuuzi
 
Back
Top Bottom