Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

Stupid ..

Idiot..

Bogus..

Pipaloo..

Chu fan chii..
 
Kila mwanadamu lazima atauonja umauti sio Mimi, wewe na yeye Ndio maana unatakiwa Kuish kama unakufa kesho.

Hakuna jipya hata yeye Akifa Atakuwa sio wa kwanza Wala wa Mwisho kufa.

Nawewe jipange Kwani hata nusu saa Yako ya baadaye huifahamu.

Njia za Mauti ni nyingi tu, Ila kufa ni kule kule.

Mwanadamu hutakiwi kukiogopa kifo abadani.

Hakika wewe ni kaka jambazi
ibi wewe ni mwanamke au mwanaume? If ni mwanamke napenda ID yako, sjui ako kq picha kana reflect venye ulivyo (jokes)[emoji23]
 
aAA KWA MAWAZO YANGU HUYU JAMAA HAMÀANISHI VIBAYA, NI FIKRA TU
 
Ameshachukua tuzo huko Afrimma best artist of the year
 
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).

Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.

Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
kakajambazi...
 
Back
Top Bottom