MAFANIKIO YA HARAKA, soma hapa-

MAFANIKIO YA HARAKA, soma hapa-

WaituWaitu

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
41
Reaction score
1
Hi, wanajamii nina furaha kubwa kutokana na mafanikio makubwa niliyoyapata tangu nianze masomo hapa chuo kikuu cha dodoma. Ukweli nilipewa wazo na mwenzangu ambaye anachukua masomo yake UDSM na nikayafanyia kazi na hatimaye kupata mafanikio ya muda mfupi na hivi ninavyoongea nina uwezo wa kuingiza zaidi ya £190 kwa mwezi ambacho ni kiasi kinachonifanya nisitegee boom kutoka serikali huku nikiamini kuwa kufikia mwisho wa masomo yangu hapa UDOM nitakuwa pesa yote ya boom >7000,000 tsh. hivyo kunifanya niweze kukaa kitaa bila wasiwasi na hayo ni makadirio ya chini kwa sababu sitegemei kupata hasara kwenye hii issue. Lengo langu ni kukufanya wewe kijana mwenzangu kuungana na mimi ili tuweze kujikwamua katika umaskini, hivyo kama unahitaji mafanikio kama yangu nipigie kupia 0765778664 au email, cethdominick@gmail.com NB nahitaji watu wenye malengo na wenye nia ya kufanikiwa ambao si wa kutegemea ajira tu kutoka. Pamoja tunaweza
 
[h=2][/h]
Mimi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dodoma na tangu nianze masomo nilikuwa nawaza namna ya kuwasaidia vijana ambao hawakufanikiwa kuendea mbele na ambao hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha na niliweza kupata jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama wewe ni mmoja kati watu ambao hawana dira sasa ni mda wa kufanikiwa nipigie kiungwana kabisa kupitia 0765778664 nitakusaidia na kama una ndugu, rafiki au jirani mwenye hali kama hiyo mpe taarifa apate kuwasiliana na mimi haraka iwezekanavyo, pia unaweza kuwasiliana nami kupitia email adress, cethdominick@gmail.com

Endelea kupost ngojera na mafumbo au weka wazi unaficha nini?
 
Hebu weka hicho kitu kilichokufanya ufanikiwe hapa ili na sisi tukitadhimini, mambo ya nipm, nipigie etc yamepitwa na wakati.
 
Yaleyale mambo ya Forever living, GNLD kama sio kweli funguka.Ndo wanavyoanzaga hawa.Pale UDOM haparuhusu mwanafunzi kufanya biashara hata ya kuuza vocha sasa wewe unataka kutuambia unatumia mbinu gani.JIPANGE TENA UJE UMEELEWEKA LA SIVYO USIRUDI.
 
tumeshawazoea hawa,natamani ningekuwa mod mtu kama huyu hatakaa aonekane jamiiforums.
 
sasa hiyo namba yako ya cm tumeshaichukua,tutajaribu kufuatilia hiyo inshu yako na ikigundulika ni uongo hakika utajuta kutumia jamii forum,kama watu walikuja na style kama yako ili kujipatia pesa za bure toka kwa watu na sasa wanajutia kwa waliyoyapata
 
Endeleeni tu kutapeli watu ila mkija kulawitiwa msichukie sawa eeh..
 
huwezi kufanikiwa kama una kiburi, nyie ndo mnajiita maskini jeuri hamtaki kupewa msaada, mimi huwa najitahidi kufanyia kazi kila ushauri ninaopewa na ndo maana napata mafanikio, usifiri kwamba kila mtu ni tapeli, ila jaribu kusikiliza unaambiwa nini na siyo ubishi usiyo na maana
 
Endeleeni tu kutapeli watu ila mkija kulawitiwa msichukie sawa eeh..

we unatukana tu na kuchekacheka lakini kumbuka kuwa hata kama nyumbani kuna mali nyingi hujatafuta wewe, hivyo yakupasa ufikirie namna ya kupambana na maisha yako ya baadaye mwenyewe na siyo kutegemea mali ya baba yako na ukiambiwa kitu fikiria kwanza siyo kutukana ovyo kama mlevi
 
[h=2][/h]
Mimi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dodoma na tangu nianze masomo nilikuwa nawaza namna ya kuwasaidia vijana ambao hawakufanikiwa kuendea mbele na ambao hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha na niliweza kupata jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama wewe ni mmoja kati watu ambao hawana dira sasa ni mda wa kufanikiwa nipigie kiungwana kabisa kupitia 0765778664 nitakusaidia na kama una ndugu, rafiki au jirani mwenye hali kama hiyo mpe taarifa apate kuwasiliana na mimi haraka iwezekanavyo, pia unaweza kuwasiliana nami kupitia email adress, cethdominick@gmail.com

Endelea kupost ngojera na mafumbo au weka wazi unaficha nini?

yaani huyu dada anahangaika kweli, alivyo kilaza kashindwa hata kujua jukwaa la kupost hizo ngonjera zake.
 
Back
Top Bottom