Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Unafukuza wanyonge kama mbwa, haohao ndo wapga kura wakubwa, angalia mkuu watakufanya kuruka kichura chura 2020 nasio push up tena! Wao wanakula tu vzr wanyonge walala wakiangalia kenchi! Walaniwe kabsa viongoz wajfanyao wao ni watu na RAIA kuwaona kama kuku!
 
Kama taifa hatuna cha kumlipa Mh Rais zaidi ya kumuombea kwa MUNGU...
 
Hakika kabisa uongozi ni mzigo mkubwa mnoo kwa mwenye nia thabiti ya kuwakomboa mamilioni waliopo kwenye lindi la umaskini.Viongozi wazalendo na wakweli hawawezi kukwepa kuchukiwa na kundi la wezi,makabaila,mabeberu,Wanyonyaji,Mafisadi na wanyang'anyi.

Viongozi wetu wakuu wanafanya kazi ngumu sana wawapo madarakani,Kazi yenye wingi wa lawama,Majukumu yenye kuhatarisha hata uhai wao toka kwa maadui wa haki,Kazi zenye kufurahisha kundi moja huku jingine likibubujikwa na majonzi..

Wananchi wenye kulipenda taifa/nchi twapaswa kuwaombea mbele za mwenyezi Mungu kwa dhati kabisa ili Mungu Mwenyezi aweze kuwatia nguvu/kuwapa hekima kubwa/kuwapa ujasiri mkuu/kuwapa mamlaka kuu na kuwawezesha kufanya mengi yalio makusudi ya Mungu kwa Taifa hili kimaendeleo.Kwa nguvu,hekima na fahamu zao pekee hawawezi bali katika Mungu muumba awatiae nguvu {roho,Nafsi na Mwili}...

Watawapiga vita sana-msivunjike moyo,watawateta-Msikate tamaa,Watawasusia-Simameni imara,Watapanga njama gizani-Mungu atawaumbua kweupe,Watafanya hila za kila namna-Watashindwa na kulegea,Watafanya ushirikina-Utawarudia wenyewe,Watalazimisha mapenzi yao-Yatakwama.....

Fanyeni kazi bila kuchoka nyinyi viongozi mnaopigana kila kukicha kutokomeza wizi,rushwa,ufisadi,ulaghai,uvivu,uhuni,Mazoea {Kisiasa,Kiuchumi,Kijamii}"Hakika Mtayaweza yote katika yeye {Mungu Muumba} awatiaye Nguvu"
 
Wana Jf.

Wakati Magufuli ameonesha umahiri mkubwa ndani ya Serikali kwa kurudisha nidhamu na kubana matumizi yasiyo na tija, CHADEMA wao wanaonekana kuchanganyikiwa kwa savant wengi wao kumbe ni wafanyabiashara wenye madeni yasiyolipika na hivyo uwezekano wa kifilisiwa ni mkubwa.

Sen go wao walikuwa vinara wa kukashfu chama tawala kumbe ndani kwa wao ndio washirika na sehemu tashwishwi ndani ya nchi.

Wakati wakihangaika kumuosha na kumpiga kiwi mtu wao hali ndani ya UKAWA ni ngumu sana maana CUF wanataka kama vipi wao ndio watoe mgombea was Jamhuri ya Muungano mwaka 2020 wakati mfadhili wa CHADEMA ashatangaza atawania 2020.

CCM kwa mwingine imeanza kupiga hatua za mabadiliko ya well kwa kubadili uongozi na kuweka vyuma halisi. CHADEMA wao wanaendelea.kutengeneza movies, sinema na mapambio CCM inaendelea kuzoa wanachama tena vichwa na tumaini la Tanzania ijayo.

Wakati rais Magufuli anayafanya yote CHADEMA inafikiria Kata Funua.

Naiona CCM ikipaa sambamba na Serikali kuimarika kiutendaji. CHADEMA inazorota na matokeo mtayaona.2020 itapambana kwa karibu na chama kidogo kinachokua taratibu.
 
CHADEMA&co wakubali hii speed hawaiwezi mwendo wa mchaka mchaka,

Hadi 2020 Mbowe atagombea ubunge kupitia tiketi ya ccm!
 
CHADEMA&co wakubali hii speed hawaiwezi mwendo wa mchaka mchaka,

Hadi 2020 Mbowe atagombea ubunge kupitia tiketi ya ccm!


Sehemu.kubwa ya hawa Jamaa kipato chao kilikuwa cha mashaka ndio maana wanamchukia JPM.
JPM anafanya mambo hadi unafurahi yani.
 
kupoteza watu kuwateka na kuwauwa wengine kuwafunga

bring back benn and Max



swissme

Hahahaha
MAX anatoka leo leo,
Hao wengine watoe mlikowahifadhi wenyewe. Hizi sinema zenu tushachoka nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…