innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 748
Ukinunua kiberiti daii risitii............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu nini?Saivan
Kama taifa hatuna cha kumlipa Mh Rais zaidi ya kumuombea kwa MUNGU...Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
CHADEMA&co wakubali hii speed hawaiwezi mwendo wa mchaka mchaka,
Hadi 2020 Mbowe atagombea ubunge kupitia tiketi ya ccm!
CHADEMA&co wakubali hii speed hawaiwezi mwendo wa mchaka mchaka,
Hadi 2020 Mbowe atagombea ubunge kupitia tiketi ya ccm!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bila unafiki hatuendi
kupoteza watu kuwateka na kuwauwa wengine kuwafunga
bring back benn and Max
swissme