Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli for life,

Itabidi tubadili katiba ili agombee milele, maana tukiwaachia mafisadi chadema nchi tumekwisha

Sasa hivi wako bize kwa wazungu ulaya kujipendekeza na kuichafua nchi
Naona kwa makusudi kabisa mna provoke watu humu ndani tuongee na wakati hatuna milioni 7 za dhamana
 
Wana jf.

Salaam,
Mh Dr John Joseph Pombe Magufuli, wewe ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia madaraka yako ya kikatiba, Mh John pombe Magufuli ninakutunuku sifa za kuwa Rais bora wa Mwaka 2016,

Kutokana na mtindo wa uongozi wako wewe Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli maarufu JPM hasa katika kudhibiti matumizi ya serikali,kuboresha na kuimarisha nidhamu ya utendaji kwa watumishi wa umma na kudhibiti rushwa, ni wazi kabisa aina yake ya uongozi haijawahi kutokea kwa dhati ilivyo, mataifa mengi duniani yameanza kuiga mfano Nigeria nao wameanza kuhakiki watumishi hewa na jumla ya wafanyakazi hewa 24000 wamegundulika kati ya mwezi August na september,

Aidha nchini Rwanda wameanza kuangalia na kudhibiti safari za nje, pia nje ya Africa amepata pongezi kwa ubunifu huo wa aina yake ni dhahiri kwamba yeye ndio kinara katika mitindo hiyo hapana shaka ndiye Rais wa karne.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Ameingia rasmi kwenye kitabu cha kumbukumbu Duniani pamoja Ensyclopidia Britanica...Forbes tayari sasa tusubiri kwenye Holly Books
 
Wana jf.

Salaam,
Mh Dr John Joseph Pombe Magufuli, wewe ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia madaraka yako ya kikatiba, Mh John pombe Magufuli ninakutunuku sifa za kuwa Rais bora wa Mwaka 2016,

Kutokana na mtindo wa uongozi wako wewe Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli maarufu JPM hasa katika kudhibiti matumizi ya serikali,kuboresha na kuimarisha nidhamu ya utendaji kwa watumishi wa umma na kudhibiti rushwa, ni wazi kabisa aina yake ya uongozi haijawahi kutokea kwa dhati ilivyo, mataifa mengi duniani yameanza kuiga mfano Nigeria nao wameanza kuhakiki watumishi hewa na jumla ya wafanyakazi hewa 24000 wamegundulika kati ya mwezi August na september,

Aidha nchini Rwanda wameanza kuangalia na kudhibiti safari za nje, pia nje ya Africa amepata pongezi kwa ubunifu huo wa aina yake ni dhahiri kwamba yeye ndio kinara katika mitindo hiyo hapana shaka ndiye Rais wa karne.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Wenzio wanalipwa na CCM kutukana kukashfu na kudhalilisha ye yote wa upinzani.

Unaweza kujiunga nao

Aah wapi sipo tayari heri nibaki Tadea huku hakuna mnyukano wa kisiasa maana huku uktaka hata kugombea uwenyekiti wa Taifa unaweza, lakini kwingine ukisikika tu unafukuzwa kama ZZK
 
Acheni kulazimisha kuna vigezo na masharti kumpata bora, mlipiga kura kwa wingi ila ushindi ule ukaenda south, bado tu mwabatuka huku?! Achaneni na twaweza hawawezi kitu wale.
 
ok... hongera sana

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]

we want

[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom