Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Umeandika simple ila imejaa weledi wa kutosha..ukiingia deeply unaona Yale matatizo sugu ambayo upinzani wamelia nayo kwa miaka kumi yameisha,.na sasa inabidi wavizie hotuba ambazo nazo baada ya muda mfupi zinaisha..
 
Wapendwa nawasalimu katika jina la Bwana Mungu.

Mimi katika maombi niliyonayo ya siku 40 namuombea raisi wangu Magufuli awe na msimamo huo huo, na namshukuru Mungu anasikia maombi yangu.
Nia aliyonayo ni nzuri xaanaaa ni kutufanya tuwe waadilifu kama Mungu apendavyoo.
Kwahiyo neno moja ninasema; Wote wanaoshindana naye hawatamshinda kwa kuwa Mwenyezi Mungu yuko upande wake. Aminaaa
Na neno lingine ni kwamba:
MUNGU AKIWA UPANDE WETU HAKUNA ATAKAYE JUUU YETU.
KWAKUWA NIA ALIYONAYO RAISI NI NZURI, BASI NA MUNGU YU JUU YAKE. AMINAA.

Ni mimi mtumishi wa Mungu Mwombaji. Amina
 
Wewe sema una maslahi huko !!
Watu wamesimamishwa ajira, wamekosa mikopo chuo , wana njaa wanaambiwa wafanye kazi, wamevunjiwa na tetemeko na kuishiwa kuwaambia wasimzoee, ah wapi hakuna Mungu wa namna hiyo labda miungu wa Baali
 
Kwahiyo njaaa na tetemeko vimeletwa na Raisi mbona hamuelewii??
Wewe ulitaka awambie wapumuzike tuuuu wala wasifanye kazi na wakati majanga yenyewe yanasababisha na mabadiliko ya hali ya hewa??
Hivi akili zenu na elimu zenu mumezipeleka wapi?? (
 
Kweli wewe ni elimu ya hapa na pale yaani ya kuunga unga kama pogba mwenyewe!! Kwanza naskia piechidii ya pia ni ya hapa na pale!!
 
Watu wengine mpo kusifia tu? Hayo maombi yako hujalizka kuishia kuongea na mungu wako mpaka na ss utuambie? Huna jipya na maombi yako!
 
Kwahiyo njaaa na tetemeko vimeletwa na Raisi mbona hamuelewii??
Wewe ulitaka awambie wapumuzike tuuuu wala wasifanye kazi na wakati majanga yenyewe yanasababisha na mabadiliko ya hali ya hewa??
Hivi akili zenu na elimu zenu mumezipeleka wapi?? (
Tangu zamani tunafanya kazi bila kuitegemea serikali lakini si kwenye majanga meen
 
Basi huyu mungu wako ni wakipekee jamaa kala hela za rambirambi bado mungu yuko upande wake je wale wahanga wa kagera mungu wao atakua taufauti nawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…