Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kura kuibiwa wananchi walichukua hatua gani?si walikaa kimya kuonyesha wameridhika.acha wawanyooshe.watie akili.Hawasikii kivipi wakati mlisema waliwachagua lakini kura zikaibiwa?
Kazi ngumu kwa Muongo ninkukumbuka Uongo wake
Mmmmmmh! Kumbe hii nchi bado ina janga la vilaza kiasi hichi........kasi gani tena ya kutowali wanyonge? Kufanya teuzi kwa mgongo wa kutumbua? Kutowajali wanchi wake? Kuropoka? Kuchukua michango waganga wa tetemeko? Kutopenda ukweli au kasi ya maigizo?Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Jpm hawagusi ukiwa wala nn wezi wote ni ccmSehemu.kubwa ya hawa Jamaa kipato chao kilikuwa cha mashaka ndio maana wanamchukia JPM.
JPM anafanya mambo hadi unafurahi yani.
Hasa wachaga wachache wale wa chama mfu chadema yaani wanachuki za waziwazi kabisa juu ya MagufuliNdugu zangu kuna watu wanasema mengi mno kuhusu style ya uongozi wanchi chini ya JPM. Nimefuatilia wengi wa wanaoponda utawala wa JPM ujue walishakutana na "bwana pepsi" kwa namna moja ama nyingine. Wapiga dili wote wanamchukuia JPM.
Mi nasema huyu jamaa amesaidia kuinyoosha nchi kwani tulipokuwa tumefikia hali ilikuwa mbaya. Nchi ilishakuwa ya wenyewe wachache. Sasa jamaa ameamua kuwarudishia wanyonge jeuri. Anatumbua tu haangalii nyuso wala kunyanzi!. Nami nasema awatumbue tu hakuna namna. Ni zamu yetu wanyonge, nyie mmetuibia mno!
Pumbafu zenu waliotufikisha hapa ni wakina nani kama sio nyie wachumia tumbo...serikali ile mliisifia kweli kweli na hii mnaisifia hivohivo yaani hamueleweki nyie mainzi ya kijani
....mamaye zako wewe na mama yako, mama wa mama yako, dada yako.Pumbafu zenu waliotufikisha hapa ni wakina nani kama sio nyie wachumia tumbo...serikali ile mliisifia kweli kweli na hii mnaisifia hivohivo yaani hamueleweki nyie mainzi ya kijani
We binti kuwa na staha basi....mamaye zako wewe na mama yako, mama wa mama yako, dada yako.