mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wacha waumie.akili iwakae sawa.wakiambiwa ccm haifai hawasikii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia.
Wacha waumie.akili iwakae sawa.wakiambiwa ccm haifai hawasikii.
Na ulipojiunga chadema kama ni kweli ulikuja hapa kutoa taarifa?Mimi kijana ambaye ni kada wa chama CHADEMA leo natangaza rasmi kujiunga na chama cha CCM . kutokana na utendaji uliotukuka wa Raisi Dr. magufuli umenishawishi kujiunga na chama kilichonlea cha CCM......karibu ccm
Leta kadi yako hapa tuone wewe ni mwanachama kadi namba ngapi..
Zaidi ya hapo ni porojo tu......
MNAYAPENDEA NINI HAYA MACHAMA. NASHANGAA SANA KIJANA MWENZANGU ANASHABIKIA CCM AU CHADEMA AU CUF. MNADANGANYIKA VIPI MBONA MIMI SINA HUO UPUMBAFU.. ILA NACHOWEZA NI KUSUBIRI NISHIRIKI UCHAGUZI NA KURA YANGU NI UPINZANI WOWOTE UTAKAOKUWA NA NGUVU KIPINDI HICHO MFANO UKAWA AU CHADEMA. CHAMA CHOCHOTE KITAKACHOWEZA KUITOA CCM NITAKISAPOTI ILA NI KIPINDI CHA UCHAGUZI TU.. NASHANGAA WENGINE MNA DEAL NA MAMBO YA VYAMA. SIWAELEWEI KABISAMimi kijana ambaye ni kada wa chama CHADEMA leo natangaza rasmi kujiunga na chama cha CCM . kutokana na utendaji uliotukuka wa Raisi Dr. magufuli umenishawishi kujiunga na chama kilichonlea cha CCM......karibu ccm