Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mimi kijana ambaye ni kada wa chama CHADEMA leo natangaza rasmi kujiunga na chama cha CCM . kutokana na utendaji uliotukuka wa Raisi Dr. magufuli umenishawishi kujiunga na chama kilichonlea cha CCM......karibu ccm
 
Ingekuwa busara sana kuelezea kama amefanya hivi na hivi ndyo vimekushawishi otherwise itakuwa unafanya ujasiria siasa
 
Hahahaha pole Sana kijana mwenzako alisifa ccm mitandaoni akafa kwa msongo Wa Mawazo usifanye kitu kwa unafiki ni hatari kwa afya yako
 
Mimi kijana ambaye ni kada wa chama CHADEMA leo natangaza rasmi kujiunga na chama cha CCM . kutokana na utendaji uliotukuka wa Raisi Dr. magufuli umenishawishi kujiunga na chama kilichonlea cha CCM......karibu ccm
Na ulipojiunga chadema kama ni kweli ulikuja hapa kutoa taarifa?
 
Uko huru kwenda chama chochote mradi tu usivunje sheria za nchi.Haya endelea
 
Mimi kijana ambaye ni kada wa chama CHADEMA leo natangaza rasmi kujiunga na chama cha CCM . kutokana na utendaji uliotukuka wa Raisi Dr. magufuli umenishawishi kujiunga na chama kilichonlea cha CCM......karibu ccm
MNAYAPENDEA NINI HAYA MACHAMA. NASHANGAA SANA KIJANA MWENZANGU ANASHABIKIA CCM AU CHADEMA AU CUF. MNADANGANYIKA VIPI MBONA MIMI SINA HUO UPUMBAFU.. ILA NACHOWEZA NI KUSUBIRI NISHIRIKI UCHAGUZI NA KURA YANGU NI UPINZANI WOWOTE UTAKAOKUWA NA NGUVU KIPINDI HICHO MFANO UKAWA AU CHADEMA. CHAMA CHOCHOTE KITAKACHOWEZA KUITOA CCM NITAKISAPOTI ILA NI KIPINDI CHA UCHAGUZI TU.. NASHANGAA WENGINE MNA DEAL NA MAMBO YA VYAMA. SIWAELEWEI KABISA
 
Hakuna Mmakonde kamili asiye na ndonya. Kurudi ccm lazima wakutie ndonya na ya kwao ni kukubali ukatwe mkia ili uonekane tofauti yaani mnaitwa; CCM Marejea, ndo hao wakatwa mikia. Pole sana
 
Umechelewa kijana mwenzangu, ungewahi jana mkuu wa chama alikuwa Simiyu akupe kadi mpya.
 
Umechelewa sana..mpaka ndege inakaribia kuanguka ndio unaruka..wenzio gia ilivyobadilishwa tu angani tukachomoka na hivyo kuokoa kura zetu..
 
Hongera mkuu kwa kujitambua na kuutendea haki utu wako! Ni kujidhalilisha tu kua mwanaukawa!
 
Back
Top Bottom