Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hawasikii kivipi wakati mlisema waliwachagua lakini kura zikaibiwa?

Kazi ngumu kwa Muongo ninkukumbuka Uongo wake
Baada ya kura kuibiwa wananchi walichukua hatua gani?si walikaa kimya kuonyesha wameridhika.acha wawanyooshe.watie akili.
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Mmmmmmh! Kumbe hii nchi bado ina janga la vilaza kiasi hichi........kasi gani tena ya kutowali wanyonge? Kufanya teuzi kwa mgongo wa kutumbua? Kutowajali wanchi wake? Kuropoka? Kuchukua michango waganga wa tetemeko? Kutopenda ukweli au kasi ya maigizo?
 
ukweli unauma ila ni lazima usemwe
mie mpaka sasa namuona mr president kama shujaa wa nchi hii na watanzania tuna bahati kuwa naye, ana nia nzuri na nchi hii ila kuna watu wachache wasiotakia mema nchi yetu au labda kwa maslahi binafs wanampiga vita

wanaolalama ni wale waliokatiwa mirija ya free lunch na "vijisenti vya kupeleka uswiswi"
na kuna wengine wapungufu wa kufikiri waliodhani rais ni malaika
baada ya kuchukua madaraka angewashushia mana na salwa
hivi jamani njaa mnaijua au mnaiskia?
acheni maneno fanyeni kazi
 
Katika masuala mbalimbali nimeuona umuhim wa jembe magufuli yaan watu walidhan labda atakuwa anagawa hela tu, au chakula lakin mbinu yake ni kukufundisha utafte zako kwa njia halali na uziheshimu

Heshima yako mkuu wanyooshee na bado wanyooshe kabisa
1. Hakuna rushwa nyoosha tu,
2.utampata wapi mtumishi, mwanafunzi au kaya hewa utawala huu. Wanyooshe baba kaza kaza kabisa
3. Upinzani uchwara wa matamko yasiyo isha na operations lukuki uko wapi, nyoosha wote mkuu salute kwako heshima yako baba nyoosha kabisa,
4. Utapitishaji kontena bila malipo sasa hivi nyoosha baba hebu tumia pass ya umeme kabisa wanyooshee ,

5. Wanaopost matus kwenye mitandao baba hebu kaza kaza kaza wanyooshe kina saa kumi nyoosha mkuu nchi ilikua ishauzwa hii

6. Wakwepa kodi jaman unanifurahisha hebu ruler iwapitie mkuu wanyooshe kabisa yan mpaka 2025 wawe wamenyooka heshima yako mkuu wanyooshe

7. Wabunge waropokaji dah kisongo hii, kaza baba kaza kabisa wanyoosheee

8. Wazembe kazini nimekupigia salute sioni mkunjo wamenyookaa kabisa endelea baba kunyoosha,

9. Wapitisha madawa ya kulavya wamenyooka viwanja vyetu viko sawa mda huu


Baba usikate tamaa ntakuwa wa mwisho kuacha kukuunga mkono wanyooshe,
176824c20f2bdc847928dd6334d98916.jpg
 
Ndugu zangu kuna watu wanasema mengi mno kuhusu style ya uongozi wanchi chini ya JPM. Nimefuatilia wengi wa wanaoponda utawala wa JPM ujue walishakutana na "bwana pepsi" kwa namna moja ama nyingine. Wapiga dili wote wanamchukuia JPM.

Mi nasema huyu jamaa amesaidia kuinyoosha nchi kwani tulipokuwa tumefikia hali ilikuwa mbaya. Nchi ilishakuwa ya wenyewe wachache. Sasa jamaa ameamua kuwarudishia wanyonge jeuri. Anatumbua tu haangalii nyuso wala kunyanzi!. Nami nasema awatumbue tu hakuna namna. Ni zamu yetu wanyonge, nyie mmetuibia mno!
 
Tumbua tu hata yasiyoiva vizuri kwani ukisubiri yaive ndo ukaayatumbua yatatunukia harufu mbaya!
 
Kwani nchi ilikuwa imepinda wapi kutumbua kwa kuzalilisha na kuvunja katiba hakutaleta mabadiliko yoyote bila kuwa na mipango madhubuti na telekezi.
 
Ndugu zangu kuna watu wanasema mengi mno kuhusu style ya uongozi wanchi chini ya JPM. Nimefuatilia wengi wa wanaoponda utawala wa JPM ujue walishakutana na "bwana pepsi" kwa namna moja ama nyingine. Wapiga dili wote wanamchukuia JPM.

Mi nasema huyu jamaa amesaidia kuinyoosha nchi kwani tulipokuwa tumefikia hali ilikuwa mbaya. Nchi ilishakuwa ya wenyewe wachache. Sasa jamaa ameamua kuwarudishia wanyonge jeuri. Anatumbua tu haangalii nyuso wala kunyanzi!. Nami nasema awatumbue tu hakuna namna. Ni zamu yetu wanyonge, nyie mmetuibia mno!
Hasa wachaga wachache wale wa chama mfu chadema yaani wanachuki za waziwazi kabisa juu ya Magufuli
 
Pumbafu zenu waliotufikisha hapa ni wakina nani kama sio nyie wachumia tumbo...serikali ile mliisifia kweli kweli na hii mnaisifia hivohivo yaani hamueleweki nyie mainzi ya kijani
 
Mtadaganywa Sana,hakuna fursa ya Wanyonge kwenye dunia hii.Hata hujiulizi toka watu wanatumbuliwa umeongezewa bei gani mfukoni.Tafuta Fursa,mpeleke mwanao shule nzuri,Usimsubiri Mwanasiasa yeyote kukusaidia toka kwenye Unyonge.Toka kupata Uhuru wanyonge wanaendelea kudidimia!!
 
Wewe hujitambui,hao wanaotumbuliwa na ndio huteuliwa tena kwa nafasi zingine, na wengine ambao hawajapangiwa bado wameiletea serikali hasara,kwa kupelekea malipo ya watu wawili kwa nafasi moja,jua kuwa wengi hawajafukuzwa kazi hivyo wanalipwa kama kawaida.Yaani wewe leo umenikuta nimetulia, ningekupa vipande mpaka ungeanza kumlaani badala ya kumbariki.
 
Pumbafu zenu waliotufikisha hapa ni wakina nani kama sio nyie wachumia tumbo...serikali ile mliisifia kweli kweli na hii mnaisifia hivohivo yaani hamueleweki nyie mainzi ya kijani
....mamaye zako wewe na mama yako, mama wa mama yako, dada yako.
 
Ujaliwe uujue ukweli, unaweza kujutia unayoandika leo.
 
Back
Top Bottom