Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

kwa iyo unataka kutuaminisha kwamba Gwajima ni the DON kushinda viongoz waliopita? sababu yeye kaagiza ndege abroad kwa ajili ya kufundishia tu
 
n
kwa iyo unataka kutuaminisha kwamba Gwajima ni the DON kushinda viongoz waliopita? sababu yeye kaagiza ndege abroad kwa ajili ya kufundishia tu
imesema kwa issue ya kufufua atcl soma vizuri na kuna sehemu nimesema amefanya vibaya
 


Hao wanaompinga Magufuli ni mashetani tu kwani Magufuli kaletwa na Mungu atukomboe na ndiyo maana wananchi wa nchi nyingine hapa Afrika wanamlilia awe rais wao.
 
Acheni ushetani wakusema Magufuli kaletwa na Mungu. au mungu alimsaidia kuiba kura, Mungu nae mfahamu sio mwizi. Mtu anaenda kwa waganga afu anakomaa kila siku tumuombee, alafu mnasema kaletwa na mugu??? you people are crazy.
 
Waliodumaa akili wanafikili mabadiliko ni kuzungusha mikono tu, kisha mnarudi nyumbani kulala
Hahaahaaa hao jamaaaa kwanza haina haja ya kuwajibu vihoja uchwara vyao wacha walalamike wakijakushtuka nchi imesonga mi sioni jipya ambalo upinzani watalifanya wakipewa nchi kumzidi magu,,i wish magu 15 years tupate maendeleo na maendeleo huwa yanakuja kwa kujifunga mkanda.
 
Waliodumaa akili wanafikili mabadiliko ni kuzungusha mikono tu, kisha mnarudi nyumbani kulala
Hahaahaaa hao jamaaaa kwanza haina haja ya kuwajibu vihoja uchwara vyao wacha walalamike wakijakushtuka nchi imesonga mi sioni jipya ambalo upinzani watalifanya wakipewa nchi kumzidi magu,,i wish magu 15 years tupate maendeleo na maendeleo huwa yanakuja kwa kujifunga mkanda.
 
Wivu umekutawala hoja zako nyepesi sana
 
Umefuata mtu sio sera vijana hawawezi kuchukua ushauri wako.... kwa hyo magu akistaafu siasa si ina maana utahama tena ccm??
Mkuu usiwe mfuasi wa watu simamia itikadi na sera maana watu wanapita ila sera na itikadi zikiwa imara husimama milele
Hata mimi nipo na rais wangu magu ukawa wapiga dili tu.
 
Mkuuu nimekusoma mia kwa mia
 
Tuacheni uongo uongo. Tutapima mafanikio ya serikali ya JPM mwaka 2020. Kwa sasa ni mapema mno kujaribu kufanya conclusion yoyote. Serikali yake iliahidi mambo mengi, mnataka tuanze kuipima baada ya mwaka mmoja tu? you guys need to be serious. Muda huu ni wa kuchangia mawazo katika kushauri utekelezaji wa sera, na si kuanza kuelezea mafanikio ya sera.
 
Hata mimi nipo na rais wangu magu ukawa wapiga dili tu.
Wewe kumsupport mtu haikufanyi kuchukia upande wa pili?? Kwani hakuna wapinzani wanaomuunga mkono magufuli??? Sisi tunampinga magufuli au huwa tunapinga anapokosea kosea kma mwanadam??? Mbona mnafanya kuwa siasa ni uadui??? Kwani tunakomoana???

Tukubali kutofautiana misimamo na mitazamo wwe kma unamsuport magufuli then its good sasa usianze kurusha matusi sijui ukawa wapiga dili and all that..... kwani tumewahi kupewa nchi tukashindwa kufanya ambacho magu labda kwa mtazamo wako amefanya????

Wewe msifie magu wakp basi ya UKAWA waachie wenyewe kuanza kujenga chuki za kisiasa eti magu vs ukawa haijengi kabisa...... yye atabaki kuwa rais hta kma wengine hatukumchagua na wote tunamsuport ila anapokosea lazma tukosoe sasa ndio tuitwe wapiga dili??? Karume na nyerere walikosolewa sembuse magu.... get a life brother
 
Niko India kwa mafunzo ya muda mfupi, kwenye Coffee break kwa kawaida watu hupata kufahamiana zaidi mbali na ile introduction inayofanyika chumba cha warsha..... kifupi hapa mimekua superstar kwa muda mfupi maana kila mtu anataka kusema lake kuhusu JPM, na kwa kweli japo nafahamu Rais wangu maarufu kiasi chake, sikuwa nikidhani kama mtu kutoka Nigeria , Ghana, Malawi angeweza mfahamu kwa namna ya kumtamani, kuna huyu kijana wa Malawi anathubutu kusema natamamni angekuwa Rais wangu!!


Hayo tu kwa leo
 
Hawajakupofua kweli jicho la tatu huko india maana nasikia wanapenda sana kula jicho
 
hahaaaa....piga picha na shar rukh khan untumie miyee....

staki ujinga
 

kama unategemea uwaziri umeshajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…