Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina uhakika na elimu yakoHuyu jpm jamani mi namadimire sana. Amewasambalatisha wezi wote kiasi ambacho nchi sasa imeparaganyika kila mtu amechanganyikiwa yaani hawaamini kinachotokea mpaka wanafikili ni nguvu ya soda bado ipo Siku atalegeza.
Wauza unga wote wameamua kuwalipa vijana ili kumuattack mitandaoni na kumtukana ovyo ovyo wakiongozwa na chadema ambacho kimebadili gia tena na kuanza kuwatetea wauza na watumia madawa kuwa wako sahihi.
Upinzani haujaamini haya yanayotokea kama yangetokana na ccm ambayo walikuwa wameshainyooshea mikono juu.
Wapinzani akiwemo zitto wameshikwa na bumbuazi mpaka na wao wanatukana ovyoovyo mitandaoni.
Huyu jpm jamani mi namadimire sana.
... kiasi ambacho nchi sasa imeparaganyika kila mtu amechanganyikiwa
Nimecheka sanaNimpenda sana hiki kipande cha sentensi.
Jamaa huyu anaona nchi kuparaganyika na watu WOTE kuchanganyikiwa kuwa ni mafanikio ya serikali.Nimecheka sana
UKuta wa Biscuti au?!?!Wakati ukuta
Time will tellUKuta wa Biscuti au?!?!
Definitely na ndipo utakapomuelewa!Time will tell
kama anatumia smart phone basi itakua smater than him/her selfNimecheka sana
ngoja ujibiwe hii kitu upate posho yako ya buku 7Huyu jpm jamani mi namadimire sana. Amewasambalatisha wezi wote kiasi ambacho nchi sasa imeparaganyika kila mtu amechanganyikiwa yaani hawaamini kinachotokea mpaka wanafikili ni nguvu ya soda bado ipo Siku atalegeza.
Wauza unga wote wameamua kuwalipa vijana ili kumuattack mitandaoni na kumtukana ovyo ovyo wakiongozwa na chadema ambacho kimebadili gia tena na kuanza kuwatetea wauza na watumia madawa kuwa wako sahihi.
Upinzani haujaamini haya yanayotokea kama yangetokana na ccm ambayo walikuwa wameshainyooshea mikono juu.
Wapinzani akiwemo zitto wameshikwa na bumbuazi mpaka na wao wanatukana ovyoovyo mitandaoni.
Unasifia utumboooooo!!Huyu jpm jamani mi namadimire sana. Amewasambalatisha wezi wote kiasi ambacho nchi sasa imeparaganyika kila mtu amechanganyikiwa yaani hawaamini kinachotokea mpaka wanafikili ni nguvu ya soda bado ipo Siku atalegeza.