Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

S
ina uhakika na elimu yako
 
Nchi ameiweza kwa kujenga CHATO au kwakuboresha maisha ya WaTanzania? Akili za vijana wa Lumumba ni shida
 
Huyu jpm jamani mi namadimire sana. Amewasambalatisha wezi wote kiasi ambacho nchi sasa imeparaganyika kila mtu amechanganyikiwa yaani hawaamini kinachotokea mpaka wanafikili ni nguvu ya soda bado ipo Siku atalegeza.
Wauza unga wote wameamua kuwalipa vijana ili kumuattack mitandaoni na kumtukana ovyo ovyo wakiongozwa na chadema ambacho kimebadili gia tena na kuanza kuwatetea wauza na watumia madawa kuwa wako sahihi.
Upinzani haujaamini haya yanayotokea kama yangetokana na ccm ambayo walikuwa wameshainyooshea mikono juu.
Wapinzani akiwemo zitto wameshikwa na bumbuazi mpaka na wao wanatukana ovyoovyo mitandaoni.
 
ngoja ujibiwe hii kitu upate posho yako ya buku 7
 
mmmh Makonda has along way to go.... mwenzetu umepiga cha wap.. si kwa mhemko huo!!!
 
Unasifia utumboooooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…